ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

Game gumu ila tutakomaa humu humu...Weye Membe wenzako wameungana na Chadema
 
Membe ameamua kusacrifice kutofanya kameni ili ambebe Lissu.

Lissu mwenyewe alishasema kuwa kuna makubaliano ya siri kati ya Chadema na Act.

Alichofanya Membe ni sacrifice ili asigawe kura.

Badala ya sisi kumpongeza kwa yeye kujitolea ili Jiwe ang'oke, Sisi tunambeza!
 
Ameenda kuchota mahela ya kampeni kwenye hazina yake Dubai!!Nadhani ccm watampa kesi ya uhujum uchumi kama kubenea pale atakapokuja na madola kibao kwenye briefcase!!Ngoja tuone!!!MEMBE NI RAISI AJAE ALIEANDALIWA IWAPO CCM WAKISHINDWA KUMZUIA LISU KWENDA IKULU!!!YALE YALE YA KABILA,MOSE KATUMBI NA SHEKETSEDI KULE CONGO DRC!!!
 
Unaweza kuta ameenda kwa mabeberu kuweka mipango ili Lissu ashinde.

Anajua siri nyinhi sana huyu mbobezi,asiachwe tu anajiendea nje kiholela.
 
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni? Kuna nini kinaendelea?

==
Picha zaidi:
View attachment 1566534
PESA ZA UCHAGUZI ZIMEMUISHIA ANAENDA KUKOPA KWA MABEBERU HIVYO LAZIMA MKAE KWENYE MEZA YA MAKUBALIANO
 
Membe ameamua kusacrifice kutofanya kameni ili ambebe Lissu.

Lissu mwenyewe alishasema kuwa kuna makubaliano ya siri kati ya Chadema na Act.

Alichofanya Membe ni sacrifice ili asigawe kura.

Badala ya sisi kumpongeza kwa yeye kujitolea ili Jiwe ang'oke, Sisi tunambeza!
alisema tarehe 15 Septemba watu wataona kimbnga kumbakumba wasitarajie kuwa atajitoa
 
Vipi MO keshakubali kukupatia ule mkopo wa zile pikipiki 16? Pimbi kabisa, wenzako wanakopa benki were unakopa kwa MO? Halafu ukinyimwa unaleta zogo Twitter utadhani kupewa na MO ni haki yako!

Kumbe Elitwege ni Kigwangala?
 
Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni? Kuna nini kinaendelea?

==
Picha zaidi:
View attachment 1566534
Labda yupo kwenye shughuli zake za UKACHERO.
Kwani anaonekanaonekanaje?
 
Back
Top Bottom