Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,423
Ngoja tuoneAaAAHHHH HAWAKAWII KUWAZUIA AIRPORT NA KUCHUKUWA PASSPORT ZAO. Eeh nimewahi seat duuuu siamini!
Mkuu usingeirusha hii habari maccm yatajipanga sasaNgoja tuone
ACT wametoa taarifa kwa vyombo vya habariMkuu usingeirusha hii habari maccm yatajipanga sasa
Waende salama lakini wajue tu kuwa sijaona wakunishawishi nimnyime kura yangu Magufuli hapo October.
Hiyo ccm yenyewe haitampitisha unampigiaje kura ?Waende salama lakini wajue tu kuwa sijaona wakunishawishi nimnyime kura yangu Magufuli hapo October.
Publicity stuntsMkuu usingeirusha hii habari maccm yatajipanga sasa
Ni haki yake na uamuzi wake.Hiyo ccm yenyewe haitampitisha unampigiaje kura ?
tayari wanazoWatapata viza ya USA?
labda ampigie barazani kwake
tayari wanazo
Narudia tena na tena ! Hakuna mtu mnafiki na opportunist kama Zitto Kabwe ! Hapo anatengeneza namna ya kupata pesa huko diaspora ! Huyu jamaa kuna siku mtakuja mjua vizuriViongozi wa ziara hiyo inayoanza mara moja ni Zitto Kabwe na Nassor Mazrui , ambao wamepanga kuonana na watanzania walio nje ya nchi pamoja Mabeberu ili kuzuia ukandamizaji wa demokrasia nchini Tanzania ambao umefikia kiwango cha kutisha .
Watanzania wote makini wako tayari kuthamini mchango wa mtu yeyote popote alipo atakayesaidia kuhami na kutetea demokrasia na utu wa Mtanzania .
Kila la heri .
Kutapa tapa
Wacha wapoteze Muda
Ila Hakuna wakumshinda Magufuli kwenye uchaguzi 2020
Never