Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
ACT ni chama kilichoanzishwa katika misingi Kharamu.
ACT ni plan B ya Wanafiq,waoga na wasaliti walioshindwa kutekeleza mipangao yao ya kishetani ndani ya CHADEMA.
baada ya kustukiwa na kutolewa nduki ndani ya CHADEMA plan B ikawa kuanzisha hiki kikundi na kukiita Alliance for Cowards and Traitors ili kujipa moyo na kutaka kuendeleza mipango yao miovu walioshindwa kuifanya wakiwa ndani ya CHADEMA.
Lakini kinachowaumiza kichwa kwa sasa ni kwa yule Kiongozi wao mkuu kung'ang'ania kubaki CHADEMA na mpaka kukimbilia mahakamani,ingawa kikubwa kilichompeleka Mahakaman ni kutaka kutetea maslahi yake binafsi ayapatayo akiwa mbunge hata kwa ticket ya Mahakama.
Lakini bado akina betlehem wako dilemma kama kiongozi wao ata wa join ama atawachinjia baharini kama alivyowafanyia wale Nyumbu wa wili waliokimbilia CCM nao kujikuta wakijisalimisha Lumumba.
Njaa ni kitu kibaya sana

Last edited by a moderator: