ACT-Tanzania, Mapato na matumzi ya chama

Ndugu watanzania wote kwa ujumla, kokote mlipo tunawasalimu kwa salamu inayo ashiria mabadiliko na uwazi.

Ndugu watanzania, miongoni mwa maswali ambayo watanzania walikuwa wameuliza kuhusiana na chama cha ACT-Tanzania, ni pamoja na kutaka kujua kwamba chama kilitumia kiasi gani cha fedha katika zoezi la usajili na uhakiki wa wanachama waanzilishi zaidi ya 2000, na mpaka sasa chama kimetumia kiasi gani cha fedha, kimebaki na kiasi gani cha fedha na kimepata wapi fedha hizo.

Swali hili kimsingi ni muhimu sana kwa kuwa linagusa moja kwa moja moja ya msingi mmojawapo mkubwa wa chama, yaani "msingi wa uwazi"; ambapo chama kinaamini kwamba ni lazima kifanye shughuli zake kwa uwazi wa hali ya juu.Vile vile chama kinatambua kuwa miongoni mwa maeneo yanayofaa kupimia uadilifu wa watu ni katika eneo hili la mapato na matumizi.

Kwa kuwa ACT-Tanzania inajipambanua katika misingi ya uwazi √

Kwa kuwa ACT-Tanzania ni chama cha siasa cha mfano nchini √

Kwa kuwa taasisi yoyote ya umma ina wajibu wa kuweka wazi mapato na matumizi yake kwa kuwa yanatokana na umma wenyewe √

Kwa kuwa wanachama wanajitahidi kuchangia chama kwa moyo safi pamoja na kuwa na kipato duni √

Na kwa kuwa ACT- Tanzania imekuja kumaliza mazingaombwe ya kisiasa nchini √

ACT- Tanzania inapenda kuwafahamisha watanzania wote kwamba, kwa kuanzia itakuwa ikitoa taarifa zake za mapato na matumizi kwa umma, kila baada ya kipindi cha robo mwaka (miezi mnne) kwa kuanzia.Chama kinatamani ikiwezekana kiwe kinatoa taarifa zake kila mwezi lakini kwa kipindi hiki cha kuanzia, hakitaweza kufanya hivyo kwa kuwa zoezi hilo linahitaji gharama kubwa na chama bado hakijawa na chanzo cha mapato cha kuaminika.Kama ambavyo watanzania wengi wamekishauri chama kuwa kila kinapotoa taarifa muhimu, kisitegemee mitandao ya kijamii pekee bali kutumia mbinu zote za mawasiliano ili kuwafikia watanzania wote, ni dhahiri kwamba zoezi hilo linahitaji gharama kidogo.

Chama kinawaomba watanzania wahesabu miezi minne toka chama kilipopata usajili wa kudumu na hapo wasipopata taarifa ya fedha, basi watakuwa na haki ya kuhoji.Ni jambo lisolokuwa na wasi wasi kwamba taarifa itakapotoka kila mtu atajua ACT-Tanzania inapata wapi mapato yake, imepata kiasi gani, imetumia kiasi gani, imetumia kwenye nini, na imebaki na nini.

Ni matumaini yetu kwamba kila mtanzania mzalendo atakuwa ametuelewa vyema.

Ikumbukwe kuwa ACT-Tanzania ni kwa ajili ya taifa letu leo na kesho!

Tuwasiliane kwa acttanzania@yahoo.com au acttanzania@gmail.com

Njaa zinawasumbua sana !

Halafu kwanini msishirikiane na CUF au NCCR au TLP au chama chochote badala ya kuanzisha cha kwenu kama sio ubinafsi na utapeli wa kisiasa ?

Halafu kuna maana gani mnapokuwa chama cha kupinga upinzani ?
 
Nani amekuuliza wewe Mwigamba? Mbona mnahangaika sana?
 
Naye bajaji huwa anatamani kuwa semi, Ushaur act jiungen na UKAWA vinginevyo siku ya uchaguz mtapigiwa kura na wakezenu
 
Hivi ni watanzania wangapi wamo jamii forum? Mbona taarifa zenu naziona hapa tu au hiki chama ni cha jf?

Hakina wanachama unategemea watoe taarifa zao kwa nani zaidi ya kuzileta hapa Jamii forum?
 
ACT Tanzania! That means kuna ACT Uswisi, ACT UJERUMANI, ACT Malaysia, ACT Saudia na kadhalika
 
Inawezekana ndio.Labla ni kama tulivyo na Kenyan GOVERNMENT, Zambian GOVERNMENT, Chinese GOVERNMENT lakini pia tuna Tanzanian GOVERNMENT au? sasa ukisema tu Govrnment bila kusema Tanzanian au Kenyan bila shaka utatuwa unachanganya, au sio!
 
Hii itakuwa ni mara ya kwanza duniani, siwahi sikia chama cha siasa kinatoa taarifa ya mapato na matumizi labda kwenye mikutano yao ya ndani. Well, zije zikiwa audited na trusted accountant na sio hawa njaa njaa..!
 
Inawezekana ndio.Labla ni kama tulivyo na Kenyan GOVERNMENT, Zambian GOVERNMENT, Chinese GOVERNMENT lakini pia tuna Tanzanian GOVERNMENT au? sasa ukisema tu Govrnment bila kusema Tanzanian au Kenyan bila shaka utatuwa unachanganya, au sio!
Msemaji wa ACT JF naona upo busy na huu Uzi
 
Ndugu watanzania wote kwa ujumla, kokote mlipo tunawasalimu kwa salamu inayo ashiria mabadiliko na uwazi.

Ndugu watanzania, miongoni mwa maswali ambayo watanzania walikuwa wameuliza kuhusiana na chama cha ACT-Tanzania, ni pamoja na kutaka kujua kwamba chama kilitumia kiasi gani cha fedha katika zoezi la usajili na uhakiki wa wanachama waanzilishi zaidi ya 2000, na mpaka sasa chama kimetumia kiasi gani cha fedha, kimebaki na kiasi gani cha fedha na kimepata wapi fedha hizo.

Swali hili kimsingi ni muhimu sana kwa kuwa linagusa moja kwa moja moja ya msingi mmojawapo mkubwa wa chama, yaani "msingi wa uwazi"; ambapo chama kinaamini kwamba ni lazima kifanye shughuli zake kwa uwazi wa hali ya juu.Vile vile chama kinatambua kuwa miongoni mwa maeneo yanayofaa kupimia uadilifu wa watu ni katika eneo hili la mapato na matumizi.

Kwa kuwa ACT-Tanzania inajipambanua katika misingi ya uwazi √

Kwa kuwa ACT-Tanzania ni chama cha siasa cha mfano nchini √

Kwa kuwa taasisi yoyote ya umma ina wajibu wa kuweka wazi mapato na matumizi yake kwa kuwa yanatokana na umma wenyewe √

Kwa kuwa wanachama wanajitahidi kuchangia chama kwa moyo safi pamoja na kuwa na kipato duni √

Na kwa kuwa ACT- Tanzania imekuja kumaliza mazingaombwe ya kisiasa nchini √

ACT- Tanzania inapenda kuwafahamisha watanzania wote kwamba, kwa kuanzia itakuwa ikitoa taarifa zake za mapato na matumizi kwa umma, kila baada ya kipindi cha robo mwaka (miezi mnne) kwa kuanzia.
Chama kinatamani ikiwezekana kiwe kinatoa taarifa zake kila mwezi lakini kwa kipindi hiki cha kuanzia, hakitaweza kufanya hivyo kwa kuwa zoezi hilo linahitaji gharama kubwa na chama bado hakijawa na chanzo cha mapato cha kuaminika.Kama ambavyo watanzania wengi wamekishauri chama kuwa kila kinapotoa taarifa muhimu, kisitegemee mitandao ya kijamii pekee bali kutumia mbinu zote za mawasiliano ili kuwafikia watanzania wote, ni dhahiri kwamba zoezi hilo linahitaji gharama kidogo.

Chama kinawaomba watanzania wahesabu miezi minne toka chama kilipopata usajili wa kudumu na hapo wasipopata taarifa ya fedha, basi watakuwa na haki ya kuhoji.Ni jambo lisolokuwa na wasi wasi kwamba taarifa itakapotoka kila mtu atajua ACT-Tanzania inapata wapi mapato yake, imepata kiasi gani, imetumia kiasi gani, imetumia kwenye nini, na imebaki na nini.

Ni matumaini yetu kwamba kila mtanzania mzalendo atakuwa ametuelewa vyema.

Ikumbukwe kuwa ACT-Tanzania ni kwa ajili ya taifa letu leo na kesho!

Tuwasiliane kwa acttanzania@yahoo.com au acttanzania@gmail.com

kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi

angalia kwenye red line chama hakina mapato ya kuaminika, hii unamanisha
  1. ufadhili anofanya zitto ni wa temporary sio wa kuaminika, kwi kwi kumbe zitto na nyie amumuamini au nimeelewa vibaya .............................................nileweshe
  2. UFADHILI WA CCM ni wa muda tu
  3. kadi kadi 2000 mmegawa bure
  4. mikutano mliofanya mwanza ni ya mlifanya kwa msaada nani
  5. and when utaanza kutoa CASH FLOW STATEMENT mpaka pesa itapokuwa
Tanzanian we need cash flow stement hata kutoka katika vyanzo visivo vya kuaminika
 
Ndugu watanzania wote kwa ujumla, kokote mlipo tunawasalimu kwa salamu inayo ashiria mabadiliko na uwazi.

Ndugu watanzania, miongoni mwa maswali ambayo watanzania walikuwa wameuliza kuhusiana na chama cha ACT-Tanzania, ni pamoja na kutaka kujua kwamba chama kilitumia kiasi gani cha fedha katika zoezi la usajili na uhakiki wa wanachama waanzilishi zaidi ya 2000, na mpaka sasa chama kimetumia kiasi gani cha fedha, kimebaki na kiasi gani cha fedha na kimepata wapi fedha hizo.

Swali hili kimsingi ni muhimu sana kwa kuwa linagusa moja kwa moja moja ya msingi mmojawapo mkubwa wa chama, yaani "msingi wa uwazi"; ambapo chama kinaamini kwamba ni lazima kifanye shughuli zake kwa uwazi wa hali ya juu.Vile vile chama kinatambua kuwa miongoni mwa maeneo yanayofaa kupimia uadilifu wa watu ni katika eneo hili la mapato na matumizi.

Kwa kuwa ACT-Tanzania inajipambanua katika misingi ya uwazi √

Kwa kuwa ACT-Tanzania ni chama cha siasa cha mfano nchini √

Kwa kuwa taasisi yoyote ya umma ina wajibu wa kuweka wazi mapato na matumizi yake kwa kuwa yanatokana na umma wenyewe √

Kwa kuwa wanachama wanajitahidi kuchangia chama kwa moyo safi pamoja na kuwa na kipato duni √

Na kwa kuwa ACT- Tanzania imekuja kumaliza mazingaombwe ya kisiasa nchini √

ACT- Tanzania inapenda kuwafahamisha watanzania wote kwamba, kwa kuanzia itakuwa ikitoa taarifa zake za mapato na matumizi kwa umma, kila baada ya kipindi cha robo mwaka (miezi mnne) kwa kuanzia.Chama kinatamani ikiwezekana kiwe kinatoa taarifa zake kila mwezi lakini kwa kipindi hiki cha kuanzia, hakitaweza kufanya hivyo kwa kuwa zoezi hilo linahitaji gharama kubwa na chama bado hakijawa na chanzo cha mapato cha kuaminika.Kama ambavyo watanzania wengi wamekishauri chama kuwa kila kinapotoa taarifa muhimu, kisitegemee mitandao ya kijamii pekee bali kutumia mbinu zote za mawasiliano ili kuwafikia watanzania wote, ni dhahiri kwamba zoezi hilo linahitaji gharama kidogo.

Chama kinawaomba watanzania wahesabu miezi minne toka chama kilipopata usajili wa kudumu na hapo wasipopata taarifa ya fedha, basi watakuwa na haki ya kuhoji.Ni jambo lisolokuwa na wasi wasi kwamba taarifa itakapotoka kila mtu atajua ACT-Tanzania inapata wapi mapato yake, imepata kiasi gani, imetumia kiasi gani, imetumia kwenye nini, na imebaki na nini.

Ni matumaini yetu kwamba kila mtanzania mzalendo atakuwa ametuelewa vyema.

Ikumbukwe kuwa ACT-Tanzania ni kwa ajili ya taifa letu leo na kesho!

Tuwasiliane kwa acttanzania@yahoo.com au acttanzania@gmail.com

jamii forum kuna registered ID kama 207,000 na umesema kuwa mko na wanachama kama 2,000 with assumption kuwa watu wote mliowapa kadi wako registered jamii forum is only 1% of jamii forum member umefanikiwa kuwauzia sera zenu kwa muda miezi mnne
 
Watu wa dizaini yako hata zingewekwa tarakimu wangelalamika tu vile vile, na penngine hata kama ni wanaume wanalalmika kwa nini ni wanaume badala ya wanawake na kama wangekuwa wanawake, wangelalamika kwa nini si wanaume.

Sijaluelewa, sababu ya kutoweka takwimu nini?
 
Siasa uchwara .
Hivi ACT ni chama cha siasa au Kamati ya send off ya CCM?
Wanatoa tu ripoti ya michango kwa wanakamati.
 
Mkuu! unawa wajibu! timiza wajibu wako katika nchi yako ili uweze kudai haki zako.
Ludovick ni mwanachama wenu? Ajali ya kupangwa ilikuwa inajenga kitu gani? Eti mlitaka mseme Ludo alitumwa na chadema , ikabuma ? Jibu then ntauliza mapato .....
 
Zitto atagombea urais kwa tiket ya chama cha wasaliti ACT
 
Hawa jamaa lengo lao kuu ni nini?
 
Back
Top Bottom