ACT-Tanzania, Mapato na matumzi ya chama

ACT-Tanzania, Mapato na matumzi ya chama

Kwanza niwape hongera kwan mnajitaidi sana.
Naona mnajibu maswali mengi mnayo ulizwa humu, ivyo nami napenda kuwauliza swali.

1. Ni nin maoni au msimamo wenu kwenye rasimu ya katiba?

2.Hasa kwenye muundo wa serekali, je mnatetea serekali mbili au mnataka serekali tatu?

3. Na kwa nn mna msimamo huo juu ya muundo wa serekali?

4. Ni wazi hamna (formal) mjumbe ambaye anawakilisha ACT-TANZANIA kwenye bunge la katiba. Je ni njia gan mtatumia kuwasilisha maoni yenu katika bunge hilo pindi awamu ya pili itakapo anza?

Natumaini nitajibiwa na majibu yatajeka uwelewa zaidi juu ya chama chenu na pia natarajia kusikia mambo mapya tofauti na ya ukawa na CCM ivyo kutujenga zaidi kuhusu katiba.
Ahsante
 
Mwanzo ni mzuri na nafarijika kwa hilo, I am in....Nitachangia ACT-Tanzania Kwa pesa yangu .... Ila sitaikopesha ili nidai kwa riba...
 
Kwanza niwape hongera kwan mnajitaidi sana.
Naona mnajibu maswali mengi mnayo ulizwa humu, ivyo nami napenda kuwauliza swali.

1. Ni nin maoni au msimamo wenu kwenye rasimu ya katiba?

2.Hasa kwenye muundo wa serekali, je mnatetea serekali mbili au mnataka serekali tatu?

3. Na kwa nn mna msimamo huo juu ya muundo wa serekali?

4. Ni wazi hamna (formal) mjumbe ambaye anawakilisha ACT-TANZANIA kwenye bunge la katiba. Je ni njia gan mtatumia kuwasilisha maoni yenu katika bunge hilo pindi awamu ya pili itakapo anza?

Natumaini nitajibiwa na majibu yatajeka uwelewa zaidi juu ya chama chenu na pia natarajia kusikia mambo mapya tofauti na ya ukawa na CCM ivyo kutujenga zaidi kuhusu katiba.
Ahsante

Unauliza maswali magumu hivyo nani atajibu
 
mnajisumbua bure bora hizo fedha zenu za saccos mngewapelekea watoto yatima na wajane
 
nyie act mnaweka mapato na matumizi kwa kitu gani hasa mlichofanya kazi mlio tumwa na ccm ni kuizibiti cdm sasa maesabu yenu yapelekeni ccm muwaambie pesa mlio tupa hesabu yake hii hapa mpewe nyingine wehu nyie wanga wa mchana
 
Nilifikiri unaleta tarakimu kumbe maneno matupu
 
Nilifikiri unaleta tarakimu kumbe maneno matupu
Watu wa dizaini yako hata zingewekwa tarakimu wangelalamika tu vile vile, na penngine hata kama ni wanaume wanalalmika kwa nini ni wanaume badala ya wanawake na kama wangekuwa wanawake, wangelalamika kwa nini si wanaume.
 
Kwani mkuu mwezi una miaka mingapi vile?

Unauliza mwezi una miaka mingapi? Haya maswali yasiyo na majibu ndo yalikuwa kwenye mtihani wa darasa la 7 uliokimbiwa na maprofesa wa hesabu baada ya kutangaziwa dau na mbatia!!
 
Unauliza mwezi una miaka mingapi? Haya maswali yasiyo na majibu ndo yalikuwa kwenye mtihani wa darasa la 7 uliokimbiwa na maprofesa wa hesabu baada ya kutangaziwa dau na mbatia!!

Mmh...! Hivi kweli zile millioni za Mbatia hakuna aliyeokota hata nusu! Prof. Mhongo si alikuwepo na Prof.wa ukweli Majimarefu nao walikosa kweli!
 
Kikwete alianza kwa kuongea na Waandishi wa Habari sasa anamalizia na Wazee wa Dar esalaam. Nyie mtaanza hivyo mwisho mtawasomea Wazee Wa Kigoma.

Kila la Heri.

Mlikusanya wazee wa cdm kuutibia wakatoka wazee wasiozidi 50 wakashauri kikao cha 2 wakipangie moshi na huko ndio panako wafaa
 
Asante sana kwa taarifa tunaomba kila mnapokuwa na taarifa tujuze wengine mikutano ya chama kwa ss wa dar atujafaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom