ACT sio CCM B kama wengi mnavyodhani

ACT sio CCM B kama wengi mnavyodhani

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,231
ACT sio ccm kama mnavyohisi wengi wenu Zito sio mjinga wa kutumika kisiasa achafuke wakati ndoto zake ni kuwa kiongozi wa nchi.. Huwezi kuniambia zito ajui yaliotokea kwa waliomtangulia Kama Mrema huyu jamaa yuko makini na analofanya na anajua anafanyanini. Ila sijaona umuhimu wa nchi masikini kama tanzania ikiwa na vyama vingi na vinaongezeka kila kukicha.
wewe unadhani kuwa na vyama vya kisiasa vingi nchini ndio demokrasia ya kweli?
nchi kama marekani wanademokrasia ila wanavyama viwili vikuu vya upinzani.
siasa imekua kama biashara na mtaji wake niwananchi wanaolipa kodi. Ningependa tanzania kuwe na vyama walau vikiwa vingi viwe 3 tuu.. hapo kutakuwa na ushindani mzuri wa vyama na demokrasia ya kweli si vyama kuwa vingi ili hali wakati wa uchaguzii zinatokea purukushani ambazo sio za demokrasia. Kuliko kuwa na vyama vingiiii wakati anaeshinda ni yule yule kwa kutumia ujanja ujanja ni bora kuwe na vyama vichache ambavyo vitatoa demokrasia ya ukweli nchini.. Amini kuna watu wataojiunga ACT na wataleta ushindani mkubwa sana.. Ila mwsho wa siku ni kuleta mabadiliko nchini.. Pendekezo langu vyama vya siasa viwe vitatu tuu vinatosha sio kila mtu akijisikia anaanzisha chama chake ILI TUIMARISHE UPINZANI NCHINI kwa maendeleo ya TAIFA LETU.
 
Hakuna kudhania bali ndio ukweli wenyewe.
Makada waandamizi wa CCM wanakiri kichinichini kukianzisha na kukifadhili chama cha Zambarau, wafuasi wa Ayatola wanakiri wenyewe kupata support ya ajabu kutoka CCM na Ayatola mwenyewe anasema amekuja kimkakati kupambana na CHADEMA.
Wewe unataka nini hasa?z
 
ACT sio ccm kama mnavyohisi wengi wenu Zito sio mjinga wa kutumika kisiasa achafuke wakati ndoto zake ni kuwa kiongozi wa nchi.. Huwezi kuniambia zito ajui yaliotokea kwa waliomtangulia Kama Mrema huyu jamaa yuko makini na analofanya na anajua anafanyanini. Ila sijaona umuhimu wa nchi masikini kama tanzania ikiwa na vyama vingi na vinaongezeka kila kukicha.
wewe unadhani kuwa na vyama vya kisiasa vingi nchini ndio demokrasia ya kweli?
nchi kama marekani wanademokrasia ila wanavyama viwili.
siasa imekua kama biashara na mtaji wake niwananchi wanaolipa kodi. Ningependa tanzania kuwe na vyama walau vikiwa vingi viwe 3 tuu.. hapo kutakuwa na ushindani mzuri wa vyama na demokrasia ya kweli si vyama kuwa vingi ili hali wakati wa uchaguzii zinatokea purukushani ambazo sio za demokrasia. Kuliko kuwa na vyama vingiiii wakati anaeshinda ni yule yule kwa kutumia ujanja ujanja ni bora kuwe na vyama vichache ambavyo vitatoa demokrasia ya ukweli nchini.. Amini kuna watu wataojiunga ACT na wataleta ushindani mkubwa sana.. Ila mwsho wa siku ni kuleta mabadiliko nchini.. Pendekezo langu vyama vya siasa viwe vitatu tuu vinatosha sio kila mtu akijisikia anaanzisha chama chake ILI TUIMARISHE UPINZANI NCHINI kwa maendeleo ya TAIFA LETU.
ukiamua kutumika basi uwe na akili japo kidogo

Unatoa pendekezo linalopingana na mankiti nzima ya kuanzisha ACT

Kama vyama viwe vitatu tu, why was ACT formed?? selfishness?? greedy?? arrogance?? si angejiunga na moja ya vyama vikuu viwili vilivyobaki i.e. CCM au CUF baada ya kufukuzwa chadema??

Kama unasema ndoto yake ni kuwa rais.. so hana motivation ya changes as long as anakua rais sio??

siichukii ACT na bwana Zitto ni mtu smart sana; ila nadhani unafiki ulioizunguka ACT sio kitu cha kukiacha tu, ni chama kilichoanzishwa kilaghai kwa malengo ya kilaghai
 
Hakuna kudhania bali ndio ukweli wenyewe.
Makada waandamizi wa CCM wanakiri kichinichini kukianzisha na kukifadhili chama cha Zambarau, wafuasi wa Ayatola wanakiri wenyewe kupata support ya ajabu kutoka CCM na Ayatola mwenyewe anasema amekuja kimkakati kupambana na CHADEMA.
Wewe unataka nini hasa?z
hii ni kweli, tena wanasema it was the only way CCM watabaki madarakani... kitendo cha CUF na chadema kuungana kiliwapa threat kubwa sana, sasa ACT inajaribu kudilute
 
Hakuna kudhania bali ndio ukweli wenyewe.
Makada waandamizi wa CCM wanakiri kichinichini kukianzisha na kukifadhili chama cha Zambarau, wafuasi wa Ayatola wanakiri wenyewe kupata support ya ajabu kutoka CCM na Ayatola mwenyewe anasema amekuja kimkakati kupambana na CHADEMA.
Wewe unataka nini hasa?z
Hilo jambo mbona liko wazi sana kuwa ACT imeanzishwa kimkakati ili kuiokoa Sisiem.

Usalama wa Sisiem ulishawatonya 'mabosi' wao kuwa kwa hali Ukawa walivyowakalia kooni, hakuna jinsi lazima ianzishwe Sisiem B, ili kura za upinzani zigawanwe, ili Sisiem ipete kiulaini.

Hata kauli iliyotolewa na ZZK, ambaye ndiye kiongozi mkuu wa ACT kuwa mwanachama yeyote atakayeiunga mkono Ukawa, atafukuzwa uanachama wa chama hicho ni uthibitisho mwingine kuwa, Sisiem na ACT ni mtu na mdogo wake.

Mbona kiongozi huyo mkuu hajawahi kutamka kuwa mwanachama wa ACT atakayeiunga mkono Sisiem kuwa naye atatimuliwa uanachama?

Kwa hiyo ushahidi wa mazingira unaonyesha kuwa ACT imeanzishwa kimkakati ili kuzigawa kura za wapinzani baina ya Ukawa na ACT, ili Sisiem ishinde kiulaini.
 
Baelezee!
 
Nadhani hivi vyama vinatokana na kutoelewana ndani ya chama so mtu anaona why asiazishe chake mwenyewe.
Mfano mzuri zitto ww unafikiri angeenda wap baada ya kutuliwa chadema?
Yaan hapo siioni kabisa kosa lake zaidi naona chadema wameshindwa kusuluisha mambo na sasa imewagharimu zitto kaama na kundikubwa la watu na kupunguza nguvu kubwa ya kupambana na ccm
 
kundi kubwa la watu kina nani?
 
Tuache upishi wale watu wote tunaowaona wana msupport katika mikutano yake means walikuwa chadema
 
wanaoamini act ni ccm b ujue ni wanazi wa chadema wanamuhofia zzk, tena hizi story za ccm b zipo humu jf tu,
 
Tuache upishi wale watu wote tunaowaona wana msupport katika mikutano yake means walikuwa chadema

mikutano ya zitto inajazwa na maccm tu, hata hapa jf mashabiki ya ccm ndio hayo hayo yanayoshabikia act.
 
Hakuna kudhania bali ndio ukweli wenyewe.
Makada waandamizi wa CCM wanakiri kichinichini kukianzisha na kukifadhili chama cha Zambarau, wafuasi wa Ayatola wanakiri wenyewe kupata support ya ajabu kutoka CCM na Ayatola mwenyewe anasema amekuja kimkakati kupambana na CHADEMA.
Wewe unataka nini hasa?z
so unadani zito ni mjinga wa kutumika?
 
ukiamua kutumika basi uwe na akili japo kidogo

Unatoa pendekezo linalopingana na mankiti nzima ya kuanzisha ACT

Kama vyama viwe vitatu tu, why was ACT formed?? selfishness?? greedy?? arrogance?? si angejiunga na moja ya vyama vikuu viwili vilivyobaki i.e. CCM au CUF baada ya kufukuzwa chadema??

Kama unasema ndoto yake ni kuwa rais.. so hana motivation ya changes as long as anakua rais sio??

siichukii ACT na bwana Zitto ni mtu smart sana; ila nadhani unafiki ulioizunguka ACT sio kitu cha kukiacha tu, ni chama kilichoanzishwa kilaghai kwa malengo ya kilaghai
sijapenda kuanzishwa kwa act na pia inapunguza nguvu za upinzani nchini. vyama vya upinzani viungane pamoja kwa harakti za kumkomboa mswahili na pia sijui sababu za kuanzishwa chama hicho cha siasa nchini. labda ni chama cha wahanga wa kisiasa.
 
Hilo jambo mbona liko wazi sana kuwa ACT imeanzishwa kimkakati ili kuiokoa Sisiem.

Usalama wa Sisiem ulishawatonya 'mabosi' wao kuwa kwa hali Ukawa walivyowakalia kooni, hakuna jinsi lazima ianzishwe Sisiem B, ili kura za upinzani zigawanwe, ili Sisiem ipete kiulaini.

Hata kauli iliyotolewa na ZZK, ambaye ndiye kiongozi mkuu wa ACT kuwa mwanachama yeyote atakayeiunga mkono Ukawa, atafukuzwa uanachama wa chama hicho ni uthibitisho mwingine kuwa, Sisiem na ACT ni mtu na mdogo wake.

Mbona kiongozi huyo mkuu hajawahi kutamka kuwa mwanachama wa ACT atakayeiunga mkono Sisiem kuwa naye atatimuliwa uanachama?

Kwa hiyo ushahidi wa mazingira unaonyesha kuwa ACT imeanzishwa kimkakati ili kuzigawa kura za wapinzani baina ya Ukawa na ACT, ili Sisiem ishinde kiulaini.
kwanini uhofie kura za upinzani kugawanywa? kwanini wasiofie kura za ccm kugawanywa? kwakuwa nacho ni chama na kinataka kuingia madarakani... sidhani kama kura za ccm hazigawanyiki nazo pia zinagawanyika.. Kama ni ccm kweli ukweli utajulikana kwakuwa kuna wafuas wengi wa chadema wanajiunga kuliko wa ccm... sidhan kama atasema kura zangu ziende ccm afe kisiasa kama walomtangulia.. pia ccm wanatakiwa wahofie mgao wa kura why ukawa?
 
Aweke wazi nani anafadhili mikutano yake ...kama alivyotangaza mali zake ....msaliti huyo watamtumia kama kondom
 
Hakuna kudhania bali ndio ukweli wenyewe.
Makada waandamizi wa CCM wanakiri kichinichini kukianzisha na kukifadhili chama cha Zambarau, wafuasi wa Ayatola wanakiri wenyewe kupata support ya ajabu kutoka CCM na Ayatola mwenyewe anasema amekuja kimkakati kupambana na CHADEMA.
Wewe unataka nini hasa?z

Ikiwa makada wa CCM wanakifadhili ACT kuna tatizo lipi? mbona hata chadema wanafadhiliwa sana tu na makada wa CCM?

Mpaka sasa chama kipya kilichoanzishwa na Vijana wazalendo kimetumia si chini ya million 1000. hii ni pamoja na mkutano wake mkuu wa kwanza na kwa sasa kinapita Tanzania nzima kujitangaza - Watanzania tunataka kujua pesa hizi zimetoka wapi??
 
Back
Top Bottom