FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,817
huyu ni kada wa ccm kwa maslahi ya tumbo tu. lakni moyoni ni CDM
Ndivyo unavyojidanganya.
huyu ni kada wa ccm kwa maslahi ya tumbo tu. lakni moyoni ni CDM
Wafanyabiashara wakubwa including Bakheresa, Sabodo, Mengi wako CCM kwaajili ya kulinda Biashara zao! Muulize Bakharesa kilichomkumba alipochukua kadi ya CUF... Wengi wanaichangia CHADEMA kwa Uzalendo wao ... wanajua kuwa hawatakuwa na amani kama wataendelea kuzungukwa na mafukara! wanajua kuwa Ustawi wa Biashara zao unategemeana na maisha bora kwa Jamii inayowazunguka ambao ndio walaji wa bidhaa zao ...
Kwa hiyo wakiichangia ACT isiwe mwao. Sababu ni hizo hizo au unaonaje?
Wataichangia ACT kwa kulazimishwa na wenye ACT ambao ni CCM ... ACT ni kitengo maalum ya kugawa kura za UKAWA ...
so unadani zito ni mjinga wa kutumika?
Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Furahisha Mwanza juzi ambao ulihudhuriwa na wafuasi wachache wa chama hicho, Mnyika alisema Chadema haiko tayari kuikaribisha ACT-Wazalendo ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutokana na kile alichosema ni adui kwao.
act sio ccm kama mnavyohisi wengi wenu zito sio mjinga wa kutumika kisiasa achafuke wakati ndoto zake ni kuwa kiongozi wa nchi.. Huwezi kuniambia zito ajui yaliotokea kwa waliomtangulia kama mrema huyu jamaa yuko makini na analofanya na anajua anafanyanini. Ila sijaona umuhimu wa nchi masikini kama tanzania ikiwa na vyama vingi na vinaongezeka kila kukicha.
Wewe unadhani kuwa na vyama vya kisiasa vingi nchini ndio demokrasia ya kweli?
Nchi kama marekani wanademokrasia ila wanavyama viwili vikuu vya upinzani.
Siasa imekua kama biashara na mtaji wake niwananchi wanaolipa kodi. Ningependa tanzania kuwe na vyama walau vikiwa vingi viwe 3 tuu.. Hapo kutakuwa na ushindani mzuri wa vyama na demokrasia ya kweli si vyama kuwa vingi ili hali wakati wa uchaguzii zinatokea purukushani ambazo sio za demokrasia. Kuliko kuwa na vyama vingiiii wakati anaeshinda ni yule yule kwa kutumia ujanja ujanja ni bora kuwe na vyama vichache ambavyo vitatoa demokrasia ya ukweli nchini.. Amini kuna watu wataojiunga act na wataleta ushindani mkubwa sana.. Ila mwsho wa siku ni kuleta mabadiliko nchini.. Pendekezo langu vyama vya siasa viwe vitatu tuu vinatosha sio kila mtu akijisikia anaanzisha chama chake ili tuimarishe upinzani nchini kwa maendeleo ya taifa letu.