ACT sio CCM B kama wengi mnavyodhani

ACT sio CCM B kama wengi mnavyodhani

Nadhani hivi vyama vinatokana na kutoelewana ndani ya chama so mtu anaona why asiazishe chake mwenyewe.
Mfano mzuri zitto ww unafikiri angeenda wap baada ya kutuliwa chadema?
Yaan hapo siioni kabisa kosa lake zaidi naona chadema wameshindwa kusuluisha mambo na sasa imewagharimu zitto kaama na kundikubwa la watu na kupunguza nguvu kubwa ya kupambana na ccm
zito hana kosa kwakuwa sheria inaruhusu na siasa ni kazi yake ya kumtafutia kipato. je wote wasioelewana waanzishe vyama kutakuwa na vyama vingapi nchini?
sheria ni msumeno wameweka sheria zito kakiuka na inatakiwa ifanye kazi sheria. usipindishe sheria kisa mkuu kakosea. nahisi hata nguvu ya ccm itapungua pia kwanini iwe upinzani?
 
Galacha Maestro mbona unajipiga mtama mwenyewe? Utitiri wa Vyama ni kwa maslahi ya nani kama siyo CCM? ZZK anafadhiliwa na nani kama siyo CCM? Mikutano yake inaandaliwa na kuratibiwa na WanaCCM! Vijana wa Lumumba wanaojamba humu jamvini ndo hao hao wenye kujamba kwa niaba ya ACT! Uhusiano wake na Zoka, Njemba, Igondou, Wassira plus zile miamala zinadhihirisha yasemwayo na wengi! Ndiyo Maana WENGI wanajua kuwa ZZK ni Msaliti ambaye hata Rais alimlilia sana alipotimuliwa na kukimbilia Mahakamani ... Itoshe kusema Watanzania wa Leo siyo wajinga tena! Shule za Kata zimeongeza Ufahamu... wanaona wanajua kuwa ACT haina wafadhili wengine zaidi ya CCM ...
 
Wafanyabiashara wakubwa including Bakheresa, Sabodo, Mengi wako CCM kwaajili ya kulinda Biashara zao! Muulize Bakharesa kilichomkumba alipochukua kadi ya CUF... Wengi wanaichangia CHADEMA kwa Uzalendo wao ... wanajua kuwa hawatakuwa na amani kama wataendelea kuzungukwa na mafukara! wanajua kuwa Ustawi wa Biashara zao unategemeana na maisha bora kwa Jamii inayowazunguka ambao ndio walaji wa bidhaa zao ...
Ikiwa makada wa CCM wanakifadhili ACT kuna tatizo lipi? mbona hata chadema wanafadhiliwa sana tu na makada wa CCM?

ACT sio ccm kama mnavyohisi wengi wenu Zito sio mjinga wa kutumika kisiasa achafuke wakati ndoto zake ni kuwa kiongozi wa nchi.. Huwezi kuniambia zito ajui yaliotokea kwa waliomtangulia Kama Mrema huyu jamaa yuko makini na analofanya na anajua anafanyanini. Ila sijaona umuhimu wa nchi masikini kama tanzania ikiwa na vyama vingi na vinaongezeka kila kukicha.
wewe unadhani kuwa na vyama vya kisiasa vingi nchini ndio demokrasia ya kweli?
nchi kama marekani wanademokrasia ila wanavyama viwili.
siasa imekua kama biashara na mtaji wake niwananchi wanaolipa kodi. Ningependa tanzania kuwe na vyama walau vikiwa vingi viwe 3 tuu.. hapo kutakuwa na ushindani mzuri wa vyama na demokrasia ya kweli si vyama kuwa vingi ili hali wakati wa uchaguzii zinatokea purukushani ambazo sio za demokrasia. Kuliko kuwa na vyama vingiiii wakati anaeshinda ni yule yule kwa kutumia ujanja ujanja ni bora kuwe na vyama vichache ambavyo vitatoa demokrasia ya ukweli nchini.. Amini kuna watu wataojiunga ACT na wataleta ushindani mkubwa sana.. Ila mwsho wa siku ni kuleta mabadiliko nchini.. Pendekezo langu vyama vya siasa viwe vitatu tuu vinatosha sio kila mtu akijisikia anaanzisha chama chake ILI TUIMARISHE UPINZANI NCHINI kwa maendeleo ya TAIFA LETU.
WALA HUJUI IDADI YA VYAMA VYA SIASA NCHINI MAREKANI KAA KIMYA USIJITAPIKIE BUREE... na kwa taarifa yako ACT ni lowassa na ZITTO hawa ndio waanzilishi na kila mmoja wao ana muda wake wa kuingia rasmi kuiongoza ACT na kwa sasa anasubiriwa KAMANDA MKUU maana KIONGOZI MKUU tayari ameshajiunga rasmi na amebakia huyooo mzee wa RICHMOND unasubiriwa ni muda tu ufike. akishaswagwa tu na chama chake ccm ANAJIUNGA RASMI ACT. na huu ndio unakuwa mwanzo na mwisho wa kuickia CCM kwenye miskio yako. kama kilivyoyeyuka CHAMA TWAWALA CHA KANU huko NCHNI KENYA basi kaa mkao wa kuinamishwa ww na CCM yako. staytune!!
 
Ikiwa makada wa CCM wanakifadhili ACT kuna tatizo lipi? mbona hata chadema wanafadhiliwa sana tu na makada wa CCM?

huyu ni kada wa ccm kwa maslahi ya tumbo tu. lakni moyoni ni CDM
 
Mpaka sasa chama kipya kilichoanzishwa na Vijana wazalendo kimetumia si chini ya million 1000. hii ni pamoja na mkutano wake mkuu wa kwanza na kwa sasa kinapita Tanzania nzima kujitangaza - Watanzania tunataka kujua pesa hizi zimetoka wapi??
kama kweli kimetumika kiasi icho nani wazalendoo watoe ufafanuzi ila sio lazima wapewe na ccm
 
sijapenda kuanzishwa kwa act na pia inapunguza nguvu za upinzani nchini. Vyama vya upinzani viungane pamoja kwa harakti za kumkomboa mswahili na pia sijui sababu za kuanzishwa chama hicho cha siasa nchini. Labda ni chama cha wahanga wa kisiasa.
mbona unaongea kama umemeza dumu????
View attachment 245080
 
Jana Mwanza viongozi wa CCM katika matawi yote walikuwa wanahasisha wanachama wa CCM wajitokeze kwa wingi kwenye viwanja vya Furahisha KUWAFAGILIA ACT, ila wasivae yale manguo ya laana ya kijani na njano
 
ccm wanatokea act. si waitishe mikutano yao tuone. Huyo dogo anacheza na akili ya watanzania. Ukombozi unakaribia yeye anataka kuuchelewesha!
 
ACT sio ccm kama mnavyohisi wengi wenu Zito sio mjinga wa kutumika kisiasa achafuke wakati ndoto zake ni kuwa kiongozi wa nchi.. Huwezi kuniambia zito ajui yaliotokea kwa waliomtangulia Kama Mrema huyu jamaa yuko makini na analofanya na anajua anafanyanini. Ila sijaona umuhimu wa nchi masikini kama tanzania ikiwa na vyama vingi na vinaongezeka kila kukicha.
wewe unadhani kuwa na vyama vya kisiasa vingi nchini ndio demokrasia ya kweli?
nchi kama marekani wanademokrasia ila wanavyama viwili.
siasa imekua kama biashara na mtaji wake niwananchi wanaolipa kodi. Ningependa tanzania kuwe na vyama walau vikiwa vingi viwe 3 tuu.. hapo kutakuwa na ushindani mzuri wa vyama na demokrasia ya kweli si vyama kuwa vingi ili hali wakati wa uchaguzii zinatokea purukushani ambazo sio za demokrasia. Kuliko kuwa na vyama vingiiii wakati anaeshinda ni yule yule kwa kutumia ujanja ujanja ni bora kuwe na vyama vichache ambavyo vitatoa demokrasia ya ukweli nchini.. Amini kuna watu wataojiunga ACT na wataleta ushindani mkubwa sana.. Ila mwsho wa siku ni kuleta mabadiliko nchini.. Pendekezo langu vyama vya siasa viwe vitatu tuu vinatosha sio kila mtu akijisikia anaanzisha chama chake ILI TUIMARISHE UPINZANI NCHINI kwa maendeleo ya TAIFA LETU.

...ni ccm wing na wasaliti camp, woote wachafu watahamia huko, wasafi wataenda chadema, wenye uchu Wa madaraka watadumu ccm. Huna haja ya kutujuza kitu tunaona kwa macho....
 
WALA HUJUI IDADI YA VYAMA VYA SIASA NCHINI MAREKANI KAA KIMYA USIJITAPIKIE BUREE... na kwa taarifa yako ACT ni lowassa na ZITTO hawa ndio waanzilishi na kila mmoja wao ana muda wake wa kuingia rasmi kuiongoza ACT na kwa sasa anasubiriwa KAMANDA MKUU maana KIONGOZI MKUU tayari ameshajiunga rasmi na amebakia huyooo mzee wa RICHMOND unasubiriwa ni muda tu ufike. akishaswagwa tu na chama chake ccm ANAJIUNGA RASMI ACT. na huu ndio unakuwa mwanzo na mwisho wa kuickia CCM kwenye miskio yako. kama kilivyoyeyuka CHAMA TWAWALA CHA KANU huko NCHNI KENYA basi kaa mkao wa kuinamishwa ww na CCM yako. staytune!!
List of political parties in the United States - Wikipedia, the free encyclopedia kasome hapo utaelewa. hahaha who told you mimi ni ccm mimi ni mtanzania tuu.. siasa siyo mpira sifanyi ushabiki lengo langu ni kuondoa dhana ya kuwa act itapunguza nguvun ya upinzani. Na hilo la lowasa kujiunga na ACT ni tetesi nimezisikia hata kabla hicho chama akijatangazwa rasmi kama umejua juzi pole sio habari mpya wala haitashtusha. CCM ikitolewa madarakani itakuwa ni revolution ya maendeleo na ukombozi. siitaji kujua nani ataiangusha ccm nataka upinzani uwe na NGUVU ya kuitoa ccm. sitaki kuwe na vyama vya siasa vingii watumie pesa nyingi wakat wajawazito wamelala chini wao wanafanya siasa kama biashsara. hizo pesa zoteee wanazotumia kama niwazalendo kweliii wasaidie masikini.. wake up tz think rationally usipelekwe na personal feelings za chama penda taifa.
 
Back
Top Bottom