chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,011
Kuna mtu aliniambia Kitila ni fully TISS na ndiye aliyekuwa assigned kuimaliza cdm by 2013. Sikuwahi kmwamini huyo jamaa maana ni mtu wa kawaida tu. Lakini kutokana na huu uking'ng'anizi wa jamaa nimeanza kuamini huenda ikawa ni kweli!
Mkuu natamani sana hawa jamaa wangekuwa hawa-hack haya ma mitandao ningekupa full kuhusu kitila na mpaka alivyokuwa recruited akisoma UDSM ila poa tu , tunaomjua hatupi shida nami CDM nilikuwa simwangalii vyema nimefanya nae kazi tukiwa chaso kanda ya kati, ila nilikuwa namuenjoy sana maana namjua mpaka ukucha ila madam tulikuwa tunajenga chama mambo yake ya ujasusi yalikuwa hayaniumizi kwani nawengine tulikuwa tunamjasusi pasipo kujua....na bado wapo tutazidi kuchomoa pale wanapotaka kuleta madhara si kwmaba hatuwajui na wengine