ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

ACT ni chama makini sana. ACT ni chama cha ukombozi wa mtanzania
 
mpaka sasa hivi wabunge wapatao 10 wa chadema wameshachukua kadi za ACT.
 
chama makini cha ACT kinajiandaa kuchukua nchi mwakani
 
CHADEMA imesambaratika ACT ndio mbadala wake
 
watanzania hasa vijana wanakipenda sana hiki chama cha ACT
 
ACT ni kama maji usipoyanywa utayaoga
 
watanzania hasa waishio vijijini wanakikubali sana hiki chama makini cha ACT
 
nawashauri vijana wote wa CHADEMA wanaojitambua wahamie chama makini ACT
 
Wakuu katika siku za karibuni kuna chama kipya kimeanzishwa (sidhani kama kimesajiliwa). kinaitwa act chama hiki kinachoenea kwa kasi kwenye mitandao hasa jamii forum kwa kupewa promo ya juu,kinatupa mashaka sana sisi watu wa demokrasia na ukuaji wa nchi.
Mashaka tunayopata ni je chama hichi kimekuja kuikomboa nchi kutoka kwa mafisadi wa magambani au chama hiki kimekuja kuipa upinzani chadema??

nasema hivi kwa kua chama chochote cha siasa kinakua na marengo na sera flani ili kukamata dola lkn chama hiki kinachopewa support na wafuasi wasioelewa hata sera na kanuni za chama hiki kimekua kikijitanabaisha kuipiku chadema kama chama kikuu cha upinzani..hapa ndo napata mashaka haiwezekani chama kianzishwe alafu lengo kuu la chama husika liwe ni kukipinga chama kingine cha siasa..
napata shaka na uelewa wa kisiasa wa viongozi waanzilishi wa chama hichi...
 
chama makini cha ACT kinakuja kumkomboa mtanzania
 
chama makini cha ACT kinajiandaa kuchukua nchi mwakani
 
watanzania hasa waishio vijijini wanakikubali sana hiki chama makini cha ACT
Yote uliyoandika ungeweka kwenye post moja kungekuwa na ubaya gani? Ulichofanikiwa ni kuonyesha kuwa hiyo ACT siyo chama makini.
 
Usalama wa taifa baran Africa unatumika vibaya sana
 
Ni upuuzi sana siku hizi watu wanaanzisha vyama vya upinzani ili kushundana na wapinzani wenzao...

Hayo ni mawazo yako mgando kama ni hivyo mbona nyie munapambana na CUF na kusema wameolewa?
 
Back
Top Bottom