Watu wanaongea sana hawajui mwanzo wa ACT-Tanzania, hawajui misingi yake wala hawajui kuanzishwa kwake, Zitto sio mwanzilishi wala sio mwanachama wa ACT-Tanzania, hofu yenu kwake isiwasababishe mkawa wapiga ramli kila jambo zuri linaloelekea kuvuruga upuuzi wenu mkadhani ni Zitto tu ndiye awezaye kulifanya.....nimekaa kimya sana mnapotosha sana kuhusu ACT-Tanzania sasa nitawajibu...!!
ACT-Tanzania ina historia ndefu kidogo ilianza tangu mwezi 08/2013 mpaka ilipofika mwezi 11/2013 ikawa imekamilisha taratibu zote za awali hata kabla ya mgogoro wa CC ya cdm na Zitto kufikia ulipofikia,
Pamoja na yote hayo mjue hakuna mipaka ya kuwakaribisha watu, hata huyo Zitto akiona inamfaa anakaribishwa sana na wengine wote.
Kuna watu wanajifanya kuwa wanauwezo wa kuandika habari za siri za serikali mbona wameshindwa kujua kuhusu ACT-Tanzania jambo ambalo lingekuwa rahisi sana kwao? na badala yake wamekuwa watu wa kubuni tu andiko linalowaijia vichwani tu
kwa hiyo nyota zinazong'ara angani usiku zinawakilisha waislamu? basi ni jambo la heri kwa sababu waislamu wanaiangazia dunia nzima
una matatizo ya akili wewe , nenda milembe ukatibiwe
Mkuu Nyakarungu, naomba tafsiri ya nyota kwenye bendera hiyo ya chama.
Kisha, naomba kujuzwa kadi za ACT zinapatikana wapi hapa Dar. Maana tunazisaka kwelikweli, tunashindwa wapi pa kuanzia.
Vilevile kama una uwezekana ingekuwa vizuri watu tukajuzwa kilichomo ndani ya katiba ya ACT.
dini gani?
Boko haram abakorakamo kama zinaendeana vile Ki semantik Ki Pronaunsiesheni na Mpaka style ya uandishi na mitizamo.
I geuss sio mtu mmoja huyu..
Chadema mbona mnaweweseka sana na hiki chama badala ya kufanya siasa mnaanza kugombana na hiki chama kipya au kimewazidi kete nini?
Shughuli zenu zote zinagharimiwa na CCM utasemaje hamna uhusiano na chama chochote kwani CCM siyo chama?ACT ni chama huru cha siasa, hakina uhusiano na chama chochote
ibada ya nyota, spirit of paganism
ACT ni mbadara wa CUF kwani ndicho chama kimekuja na mkakati wa kuwakusanyanya waislamu waliokuwa wamesambaa.
Mratibu wa ACT kg ni div 0 ya newman kg na zuzu la kufa mtu linalohubiri udini na ukabila katika kutafuta wanachama.
Wajuzi wa mambo wameshajua zamani kwani hata ule waraka wa kihaini Zitto hakuhusika wala alikuwahaujui.
Imani ya dini yetu
umesoma kweli wewe, au kama kawaida ya chadema umekimbia shule, unajua nyota ni nini? nyota ni vipande vya mchanga vinavyoakisiwa na jua...poor you
Unamaanisha tanga?wewe kila mtu ni chadema pimbi kweli unaongea na team lowasa.na kuamini nyota na mwezi ni ibada ya kipepo.lazima raisi ajaye atoke kaskazini