ACP Hemed Msangi...

Unatafuta faraja, hizo propaganda zako zinafanana na zile za chama cha kijani. Watanzania wa leo wameelimika, wewe ndiyo wa kuwaambia, zilitengenezwa ama anahusika kama alivyotajwa na dk pale alipokwenda icu kumkejeli

Huyo bwana huo ni mchezo wake kulamba vielelezo vya washitakiwa.
:eek2:
 
Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
Mods, hili ni jukwaa la great thimkers. Toa huu *****. Huyu jamaa anataka kutuletea speculations walizokuwa wanaongelea jana akina Ephrahim Kibonde na kutaka kutuaminisha kwamba eti ni SMS kama za Kanumba! Sijui wapuuzi wa dizaini hii wanaingiaje humu!
 
Lo! Posti ya kwanza tu unaanza na pumba kiasi hicho. Je umejiunga ili kumtetea kamanda msangi? Au wewe mwenyewe ndiyo kamanda msangi?

Mkuu hongera, hapo ndipo ninapoipenda JF.
Great thinkers kabla hawajachangia wanaangalia vitu vingi ikiwa ni pamoja na "kajiunga lini?".
Hiyo husaidia sana kujua lengo la mleta mada ni nini?
 
Huyu tunamjua form iv failure lakini anabebwa huyo! Kinachonitisha ni yeye kuingia kwenye kundi la mafia. Analipwa shiling ngap?
 
Join Date : 29th June 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0​
Huyu ni msangi kajoin Jana kuja kijisafisha kwi! Kwi! Kwi!
 
karibu kamanda msangi nilikuwa nakusubiri sana hongera kwa kujileta.ivi kwa nini ulifanya vile?wakuuuuu ndie huyu jamaaaaaaaaaa kajiunga jana karibu sana
 
Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.

Ndiyo, imetengenezwa huko Mabwepande.
 
Join Date : 29th June 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0


Umejiunga lini ? kwaajili ya nini ? Mijitu mingine hovyo.
Limeshapewa kitu kidogo linakuja kutetea huku..p...vu..
 
msangi tutakuuliza maswali ushindwe kujibu humu tupo ma great thinker wewe slow learner tafadhali toka usije ukaumbuka kwa kutoa siri zenu
 
weeeeeeeeeeeeeeeee!!!! take care watu wamefunguka, hadanganyiki mmtu wala hasafishiki mtu , lazima huyu kamanda awajibike kwa vitendo vyake vya ukatili ,
Kweli bwana msangi ukubwa jiwe, ninachojiulizwa kwanini utajwe wewe kati ya watz 40m
 
Join Date : 29th June 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0​
Huyu ni msangi kajoin Jana kuja kijisafisha kwi! Kwi! Kwi!
Atakuwa kamkodisha mtu amsaidie..manake hawa mapolisi wetu unaweza ukute hata kuwasha computer hajui.
 
Hivi kweli ni utu kumuacha mgonjwa afe ili udai vifaa vya kutibia mgonjwa huyohuyo anayekufa au hiki ni kiiini macho cha kudaia mafao.Haya sasa vitanda vimekua tupu huko hosp basi wakalale wao maana walikua wanavidai

Tough stuff..I guess your reasoning capacity ndio imeishia hapo! It will be very difficult for you to comprehend what is happening vis migomo na kupigwa kwa Dr Uli.
 
kwani hizo bangi zako lazima uvutie humu JF tumboni liliokubeba miezi tisa lilipata misuko suko si kidogo. maana hapa kujoin tu tayari umeonyesha jinsi ulivo msukule kimawazo
 
Maafisa na maboss wao wako so bitter kuona kwamba azma yao haikutimia mara moja. Ukipita pita kwenye circles zao utagundua ni kwa jinsi gani watu hiki kitu kinawapa maumivu kwa kushindwa kutekelezwa.
 
Back
Top Bottom