ACP Hemed Msangi...

ACP Hemed Msangi...

mkuu umeangalia hiyo picture vizuri? Au hauna macho nn mkuu? Wengi hawana hata muhudumu mmoja wa kuwaangalia tena wamelala chini

huyo mwingine full ma ac wauguzi kaa mia

lkn ujue yamemkuta hayo kwa ajili ya kutetea hali bora kwa wagonjwa wote.ila kwa kuwa pinda hataki maisha bora kwa wagonjwa ndio maana wakaamua kumnyamazisha dr uli
 
kwenye hizi nyuzi za kuhusu dr ulimboka, kwa siku nzima ya leo sijawaona members mashuhuri wafuatao:
Topical
rejao,
annael, na
ritz. Sijui nini kimewasibu, namuona zomba tu akijaribu kujitutumua. Sijui wamekumbwa na nini.

hawajapata mgao
 
Picha yake itampoza. Kuna watu wana hasira sana tokana na yaliuomkuta Ulimboka. Watu wanaweza kumtafuta hadi nyumbani na kumfanya kitu mbaya yeye na familia yake.
 
Somo la kiswahili bila shaka mlikuwa mnapishan na mwalimu mlangoni. Yeye anaingia kufundisha wewe unatoka kwenda kula ubuyu.
Mtu unaandika na kuchanganya mambo kama kuku anaparua kujitafutia riziki??

Sawa tu acha apumzike apo aone na wengine wanajiskiaje.Alah? wao tu walipwe ela nyingi.kwani tunaolipwa laki 5 hatufanyi kazi?Chadema itetee haki kwa wote.kuna waalimu 210,000.( hapa walimu sijui wameingiaje?)

Wafanyakazi wa serekali kibao, madokta, madkta. Kazi ni kazi.atuwezi fanya kazi moja wote ila lengo mwishoni wote tupate ela.wanatuulia ndugu zetu wanataka utajiri wa fasta.

Waende ata freemason basi.wachukue time........Tuache kuwa na akili mgando.Serekali ibanwe itumie ela vizuri,ila na sisi kila mmoja afanye kazi ila taifa liendelee.No lelemama.hela ya bure imetoka wapi? Mnaona wachina?

Piga kazi sana ila kidogo.baadae maendeleao.Watanzania tunajua sana kuongea na kuchangia.aliye na point nzuri kazini hewa. Low production.na serekali dhaifu atutaki. Tunataka madikteta, sha choka na lawama za kijinga!

Uandishi huu???Ingekuwa ni upishi hizi zingekuwa kande zenye mchanganyiko wa mahindi maharage mchele na mchicha siju ni kande za kabila gani hizo??
 
Hembu tuwekeeni Picha za hawa watu, ili tukikutana nao mitaani Ama Zao Ama Zetu..



Usiku wa tukio lilomkuta ndugu Dr. Stephen Ulimboka ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu Salim kituo chako cha kazi ni wapi?

Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa.

Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya.

WanaJF nakamilisha mahojiano na mtu wa ndani ya familia yake hapa nitawapa majibu punde haya mengine yake.

Kamwe ubaya haufichiki nawe Mokira Muhimbili ulikuwa unawasiliana na nani?

Aluta continua
 
Unajua Mwema alikuwa RCO kwa muda kabla ya kupandishwa na later kuukwaa kutokana na ushemegi. Huyu ni mmoja wa watu wake wa karibu, na kama akina Nyombi, Adungulile au whatever yule alikuwa arusha ni ma-Zombe wazuri sana ! Hawa ni mabingwa wa kufanya kazi maalum, na wakati mwingine kwa maagizo maalum ! Nyombi si ndiyo alichora dili ya kwanza ya kumuondoa Mwakyembe pale ifunda...

Washenzy sana hawa na ni kweli kuna maagizo mengine na kazi maalum zinakwenda kwa balagashia kupasiana !!!


Msangi namfahamu alikuwa kituo cha Polisi Usa River arusha then akahamishiwa Morogoro na baadaye Dar. Kama huyu bwana ameingia katika hayo mambo ya uuaji atakuwa amechemka sana .
 
Wakuu kama vipi mwageni details zake na family yake na anapoishi kila mtu afahamu.......
 
Samora Uliza mkaazi yoyote wa Arusha atakueleza kituo cha polisi Usa River kuanzia miaka ya 1990s - 2000s mziki wake ulikuwa mkubwa ndugu jamaa au rafiki akipelekwa huko akitoka mzima kama ni mwanaume alikuwa akiitwa mbuzi wa shughuli kutokana na aina ya mateso waliyokuwa wakiyapata. Kuna uwezekano mkubwa ACP Msangi alikuwa mkuu wa hii operation toa uhai Dr Ulimboka [OTU].
Hivi kuna mdau humu mwenye picha ya huyu muuaji ACP Msangi? Naombeni mnisaidie nilifahamu hili liuaji. Yaani Tanzania ndio imefikia hivi? Hawa wapuuzi sijui wataondoka lini madarakani, ndugu zetu wapate kupumua
 
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu dr Stephen Wasira ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu salim kituo chako cha kazi ni wapi? Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa. Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya. WanaJ
.
Hapo juu kwenye red mkuu, inamaana Wassira naye ameshaukwaa uDr?.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.

HAPPY SABATH BROTHER
 
ACP Msangi akiwa mkuu wa USA alisimamia zoezi la kuondoa uhai watuhumiwa wanne wa ujambazi waliokamatwa na polisi wakiwa hai ikamlazimisha RPC Ntobi kuhamishiwa mkoa wa Mara.

Na waliwauwa wale vijana simply because walikuwa watoto wa matajiri, na baada ya kuuwa wale wawindaji haramu 2010 na Yule mzee mwingine torture chamber alisimamishwa kazi... Kituo CHA USA River usipime wana watesaji sio mchezo pale sitapasahau hata siku moja... Dah ujana huu!
 
Alichofanyiwa Dr. Ulimboka ni unyama na udhalimu mkubwa na kamwe sikiungi mkono. Tatizo langu linabaki kutokubaliana na huu mgomo wa madaktari, na sasa umehamia kwa madaktari bingwa.
Madaktari tafadhali tafuteni njia nyingine ya kudai haki yenu, hii ya mgomo mnatuumiza sisi walalahoi.
Sasa mnatushawishi tumchangie Ulimboka akatibiwe India wakati kuna wagonjwa mahututi kibao mahospitalini, hao tunawasaidiaje?
 
Alichofanyiwa Dr. Ulimboka ni unyama na udhalimu mkubwa na kamwe sikiungi mkono. Tatizo langu linabaki kutokubaliana na huu mgomo wa madaktari, na sasa umehamia kwa madaktari bingwa.
Madaktari tafadhali tafuteni njia nyingine ya kudai haki yenu, hii ya mgomo mnatuumiza sisi walalahoi.
Sasa mnatushawishi tumchangie Ulimboka akatibiwe India wakati kuna wagonjwa mahututi kibao mahospitalini, hao tunawasaidiaje?

Nani kakuomba uchangie? Walioombwa kuchangia walishachanga.
 
KIBE unawahukumu madaktari kana kwamba wanachodai ni pesa peke yake. Je, unayajua madai yao yote?

Mojawapo ya madai yao ni kuwapo kwa vifaa tiba na madawa kwenye hospitali, pamoja na vitanda vya kutosha na nyenzo nyingine muhimu.

Hapo wanadai pesa kwa ajili yao? Kama umesahau, kuna daktari wa Hospitali ya Wilaya ya Temeke alinukuliwa na vyombo vya habari kwamba alilazimika kumwacha mgonjwa kwenye chumba cha upasuaji na kutoka nje kukimbilia hadi kwenye duka la dawa ambalo kulikuwa na kifaa tiba kilichogharimu SHILINGI ELFU MOJA TU!

Alitumia pesa yake mwenyewe kuokoa maisha ya mgonjwa. Labda wewe hujawahi kuumwa hadi kulazwa na kufanyiwa upasuaji. Waheshimu sana madaktari. Hakuna kazi ngumu kama ya kumtibu binadam, MUUJIZA wa Mwenyezi Mungu.

KUJAFA HUJAUMBIKA KIBE!

Mwanahaki! Hili tatizo sio la kibe peke yake watu wengi wanadanganywa na serikali kuwa madaktari wanadai nyongeza ya mishahara wakati wanadai mazingira mazuri ya kufanyia kazi na vifaa, karibu hospitali zote nchini za serikali zina mazingira duni ya kufanyia kazi vitendea kazi hakuna, madaktari wamechoka serikali haiwajali wananchi wake mfano mzuri tu ile ajali ya jana Tanga wale wamama waliopata ajali y pikipiki wamepelekwa Bombo wamekosa huduma ya x-ray hospital ya Bombo haiana huduma ya x-ray kwa muda mrefu sasa nakipimo cha CT-SCAN hawana WATANZANIA WAJIULIZE NI WANANCHI WANGAI WANAUWEZO WAKWENDA PRIVATE HOSPITAL KUPATA VIPIMO VYA CT-SCAN NA X-RAY.

Ni hospitali ngapi za serikali zina mashine ya ultra sound hivi ni baadhi tu bado madawa kuna kipindi hata panadol unaambiwa ukanunue hospital haina dawa hapo tunamlaumu daktari kwa kutoa huduma chini ya kiwango sababu ya mshahara wake ama sababu ya vitendea kazi.

mama mjamzito anaambiwa asienda na vifaa vya kujifungulia atapatiwa hospitalini lakini akifika unapewa robo ya vifaa vingine hakuna hata kipini cha kubania kitovu cha mtoto cha sh.1000/ hospitali hawana wanakuambia vimekwisha. Je nani alaumiwe??

Kitanda kimoja mnaweza kulazwa hadi watu wa 3 badi chini wengine wanatandika mashuka wanalala vigodoro havitoshi, halafu tunawalaaumu madaktrai, huduma za jamii kwa wagonjwa walio lazwa zina tisha, mabafu hayafai kwa matumizi ya binadamu vyoo ndio balaa, maji ya kuoga hadi ndugu wakuletee kama huna ndugu imekula kwako.

NARUDIA TENA NA TENA SERIKALI IACHE KUPOTOSHA WANANCHI KUHUSU SUALA LA MGOMO WA MADAKTARI ISEME UKWELI!!

 
Msangi namfahamu alikuwa kituo cha Polisi Usa River arusha then akahamishiwa Morogoro na baadaye Dar. Kama huyu bwana ameingia katika hayo mambo ya uuaji atakuwa amechemka sana .

Je hakuwahi kufanya kazi Kilimanjaro as RCO, before Morogoro?
 
Napata Picha ya kumbuka mauhaji wa Vijana wa Madini kutoka mkoani Morogoro yalifanyika Katika msitu wa Mabwe Pande. Je kijana ambaye alifyatua risasi (Refers Judgement pale Mahakama kuu) hajapatikana hadi leo yawezekana pia alikuwa ni mtoto wa Kigogo pia. The way he is being groomed (ACP), is wrong way Wadau tufahamishane
 
jaMANI HIVI HUYU ACP MSANGI ANAKAA WAPI INGEKUWA NI VYEMA TUKAFAHAMU ILI AWEZE KUPATIWA ULINZI SHIRIKISHI MZURI
ANA WATOTO WANGAPI
ANA WAKE WANGAPI
NA NDUGU ZAKE PIA JAMANI
TUNAOMBA KUFAHAMISHANA
ULINZI SHIRIKISHI NI MUHIMU
SANA APATIWE.........

WENYE HIZI HABAARI FUNGUKENI BASI
 
Alifanya kazi arusha na kilimanjaro,anasifika kwa kuu,ndio profession yake hiyo hakuna analojua lingine
 
Wakuu tuwekeeni picha ya ACP Msangi tumjue,kumbe nae ni kama saba sita aliekuwa arusha akahamishiwa Morogoro na sasa nadhani yuko Dar,na huenda nae alihusika kumtendea unyama Dr ulimboka,kwa wale wanaomjua Saba sita watakubaliana na mimi,maana huyo nae ni mmoja ya wauaji wakubwa ndani ya jeshi la polisi.

Kwa kuwa sina uhakika sana kwamba alipotoka Morogoro alihamishiwa wapi basi kama kuna mtu anajua alipohamishiwa basi mtujuze,ila kama yuko hapa basi mjue alishiriki,huyo ni hatari sana,

na kuna mwingine Said yuko central anaishi karibu na mnazi bar pale uwanja wa taifa ni bonge mfupi hivi,huyo nae ni hatari,Dr Deo tupe walau maumbo ya watu waliomteka Ulimboka maana wakati anachukuliwa ulikuwepo,itasaidia kuwatambua,maana kama huyo saba sita ndio kazi yake nae ni mrefu pande la mtu na ni randi yake ni maji ya kunde.mara nyingi sana huwa anavaa kaptula.
Tusaidiane kuwabaini
 
Back
Top Bottom