Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.

Alifanya kazi arusha na kilimanjaro,anasifika kwa kuu,ndio profession yake hiyo hakuna analojua lingine
man umekuja kupima upepo et?
Mbona mnahangaika sana kumsafisha?Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
Huyu Hemedi Msangi ni mtu mzuri tu, yeye alifanya kazi pale ofisi ya PP's arusha kwa muda mwingi akiwa na akina Duwani Nyanda,Massawe,Temu,Selemani,Juma,Thomas na Awadhi. Yeye siyo mwanazuoni kabisa lakini kujuana ndio kuliko msaidia, na sio kweli kwamba alisomea Botswana bali alikwenda kule kuudhuria kozi fupi za kipolisi.
Ngoja niiweke hapa ila sijuhi kama itasomeka.Kamanda Chagonja huwa anaropoka. Anamtetea home boy wake Msangi. Hebu soma hii kuhusu MsangiAfande Msangi.docx