mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 479
you have got a black out while wrtiting this thread,i think you are microcephalic...kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (zco) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka dr.ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki steven kanumba ya kuwa eti kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.