ACP Hemed Msangi...

ACP Hemed Msangi...

Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
Join Date : 29th June 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received: 0
Likes Given: 0

wengi wataangalia hapa alafu watajua wewe ni nani. jf ni waelevu zaidi ya unavyofikiri na sio sehemu ya kuleta propaganda zisizo na kichwa wala miguu.
 
Join Date : 29th June 2012
[FONT=Verdana, Geneva, sans-serif][/FONT]
[FONT=Verdana, Geneva, sans-serif]WALA MSIBISHANE NAYE KATUMWA HUYO ,AU NDIE HEMEDI MSANGI MWENYEWE,SUBIRI WE WILL CHOP U INTO PIECES [/FONT]​
 
Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.

Oyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa acha hizo!! Hata Mwakyembe haumwi ni mzima!!!!
 
Huyu kajiunga jana tu humu, ni Msangi mwenyewe huyu, sasa wewe umeshachelewa kila kitu kipo wazi. mimi nakushauri ujinyonge kabla nguvu ya umma haijakuangukia maana kwa sasa tunatafuta style itakayokufaa kwa kile ulichokitenda.
 
Kweli bwana msangi ukubwa jiwe, ninachojiulizwa kwanini utajwe wewe kati ya watz 40m
sure man kelvito lazima jamaa atueleze kwa nini ametajwa yeye kuhusika na wala sio mimi au wewe , lazima kunakitu anafahamu
 
Last edited by a moderator:
aliyeanzisha kulinganisha na ishu ya kanumba ni mchangiaji mmoja wa clouds mwanamke jina tunalihifadhi aliyekuwa anachangia mada ya uchambuzi wa magazeti tar 29/6/2012 jioni, na yeye alikuwa anauliza swali? lakini ukweli kutoka kwa watu wa karibu na Dr ulimboka ,yale yote yalisomwema kilichotokea ktk ya msangi na dr ulimboka ni kweli na ushahidi upo alimdai waleti na simu yake kutoka kwa vijana aliowatuma msangi wamtese..
 
ok atajuta kuzaliwa hata akitetewa atapata alichopanda
 
alishasomeka, tulisha mpotezea , ukweli upo wazi kuwa msangi anahusika moja kwa moja na ishu ya DR.Uli , ingawa ukweli unajaribu kupindishwa na kuupotosha uma ili kuiepusha serikali pamoja na kuwasafisha watuhumiwa akiwemo msangi..HASAFISHIKI MTU -lazima wahusika wote wawajibishwe
 
Wewe Msangi umekuja kujisafisha?huwezi takasika kamwe Gaidi mkubwa wewe. Ipo siku utajuta mwehu wewe tutakupa stahiki yako
 
watu wanachanganyikiwa hata pm juzi akijibu swali la mbowe kajisahau kuwa yeye ndie waziri mkuu.
majina ya wabunge wengi kayakosea kuyatamka inaonesha kuna kitu kinamsumbuwa kichwani
 
Stupid thread for stupid people like you and not us........I better leave this thread because................:iamwithstupid:
 
Mwenyezi Mungu atampigania Dr. Ulimboka atapona tu hivyo kamanda kaa mkao wa kunyolewa tuatajua mbivu na mbichi soon
 
Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
Unaonekana umejiunga JF jana, ndo maana unashtukiwa kama mgeni JF labda umeingia kuweka mambo sawa kwa wana-JF. Mimi nimepita tu, huenda nikarudi baadae.
 
Hii nchi ina mijitu mijinga sana, watu wanajadili suala sensitive jitu lina shity jukwaani.

Mijitu kama hii sijui kwa nini inapata privilege wanazokosa wenye akili.

...*****!

Kiganyi, JF.
Mwanzo - wotepamoja.com
 
Back
Top Bottom