Acheze mbali na mke wangu nitaua bila kukusudia

Acheze mbali na mke wangu nitaua bila kukusudia

Kwako wapi MKUU Mimi najitolea kuwa mlinzi kwa mkeo
 
Apo tayari mzee baba wife mwenyew kajibu kirembo kweli...[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni simple kumla wife wako dah
 
Iyo inaita Reverse mechanism,mkeo ashapapatuliwa kakuonesha ivyo ili umuamini!
 
Akili za mwanamke mie huwa sizielewi kabisa, waweza kuta kashabetuliwa na jamaa na ile pesa ya mkopo hakupewa. Anakuja kukuambia vile ili kujitoa, umakini unahitajika.
 
ukijifanya mkalii eti unalinda mkeo nakwambia analiwa na manyoya unabeba kama kawa, mwanamke unaishi nae kwa akili tu awe na sababu za kuwa kwako hapo hata aje nani hawezi kutoa kitumbua. sababu sio kuoa tu sababu ni yale anayoyapata kutoka kwako sio kwa mwingine. wewe uko mbali unatishia nn sasa ?
 
hahahaha .nakumbuka mtaank kwangu.kuna lizee lipumbavu japo li ajidai la mujini baada ya kuzurura wee.likaja kuoa li bar made la kihehe . hilo demu lipuuzi nalo limejichubua linaliwa mpaka na bodaboda tena nyumbani kwa mzee ati mzee anasema mke wake anashawishiwa ndo mana anagawa uchi hovyo .anawafumanisha watu kwa mipango na mkewe kisha anataka kulipwa. hahaha
 
hahahaha .nakumbuka mtaank kwangu.kuna lizee lipumbavu japo li ajidai la mujini baada ya kuzurura wee.likaja kuoa li bar made la kihehe . hilo demu lipuuzi nalo limejichubua linaliwa mpaka na bodaboda tena nyumbani kwa mzee ati mzee anasema mke wake anashawishiwa ndo mana anagawa uchi hovyo .anawafumanisha watu kwa mipango na mkewe kisha anataka kulipwa. hahaha
Haha
 
Pole sana ndugu KAOROGOMA kwa haya yote unayopitia(uliyopitia - nitagi kwa mrejesho nisome) Ni kweli, kuwepo mbali na familia, tena nje ya bara kabisa, kunafanya mambo kama haya yawe magumu sana kuvumilia na kuleta mawazo mengi sana kichwani. Ni jambo la kawaida kabisa kuhisi hofu na wasiwasi unapokuwa mbali na mke wako, na hasa ukisikia mambo yanayoweza kutafsiriwa vibaya.

Ujumbe wako kwa mkeo unaonyesha jinsi unavyomjali na kutaka kumlinda kutokana na hatari unazozielewa vizuri kama mwanaume. Ni kweli, kuna wanaume wenye nia tofauti na zile tunazozitarajia, na uzoefu wako unakupa msingi wa kutoa tahadhari hizo.

Lakini kitu kimoja cha kutia moyo hapa ni kwamba mkeo alikuja kwako na kukushirikisha hili. Hii inaonyesha bado anakuamini na kukuthamini kama mume wake na mshauri. Badala ya kufanya mambo kimyakimya, alichagua kukuhusisha, na hilo ni jambo muhimu sana katika kujenga uaminifu.

Sasa, labda badala ya kukata kabisa mawasiliano yake na huyo jamaa, mnaweza kukaa chini kama wanandoa (hata kupitia video call) na kujadili mipaka yenu na jinsi ya kushughulikia msaada kutoka kwa watu wengine wa jinsia tofauti hapo baadaye. Mpe nafasi ya kuendelea kukuonyesha uaminifu wake na muendelee kujenga uhusiano wenu kwa msingi wa uwazi na kuaminiana.

Mambo yatakwenda sawa, muhimu ni kutuliza moyo na kuweka uhusiano wenu mbele. Kuwa na subira na muendelee kuwasiliana kwa uwazi. Tuko pamoja nawe katika hili.

---_-
Hii JF AI haisomi lini post ilirushwa 🙄
 
Back
Top Bottom