Acheze mbali na mke wangu nitaua bila kukusudia

Acheze mbali na mke wangu nitaua bila kukusudia

MKUU USHALIWA HAPO, ANACHEZA NA AKILI YAKO. NA KWA RISALA HLO KESHAJUA KUWA WEWE NI BOGUS NA HUBANDUI KWAKE.

UKIONA MKEO ANAKUAMBIA WANAUME WALIOMTONGOZA KUNA MAWILI

1. Hamtaki huyo mwanaume ila wale anaowapenda hakuambii

AU

2. Anakuambia ili kujihami, usimshuku huku akiendelea kutanua paja
 
Niko mbali kidogo na kwangu ambako niseme nje ya Bara la Africa kabisa,

Mke wangu kakwama sehemu akawa amemuomba msaada jamaa yake mmoja msaada bila kunihusisha, sasa lichojibiwa ndo akanihusisha.

Hapa mawazo hayapo kichwani tena maana wanaume wengi wabunifu wa kuwadanganya wanawake na kuwapata.

Ona;

View attachment 715821



Baada ya hapo nikampa ushauri huu


[15/03, 17:09] my number: Hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke hata siku moja, lazima mazingira yatengenezwe mtu aliwe hivo sitaki urafiki wako na huyo jamaa uendelee full stop, wanaume huja kwa njia nyingi tu, we hujui muda wa kukupa somo ilo bado, yaani mimi ni mwanaume najua na ninaelewa sana.

Na ubaya wa wanawake huwa wepesi kuamini sijui kwanini, wanawake wengi wameliwa ndo wa akuna kugundua ukweli.

Wanaume hutumia mbinu nyingi mno sana.
1. Mtu hubadiri hadi tabia ampate mtu, hata kwaya wengine ujiunga, kabisa na kuanza kuhubiri neno.
2. Wengine kuonesha hata miradi isiyo Yao na kuwahadaa wanawake na wanawake akili fupi uingia kingi mifano mingi nami nimeitumia Sana hiyo Mifano.

3. Majumba mtu huonesha mpaka majumba ya shirika kwamba ni yake au mwingine anakuwa kapanga muda mrefu anadanganya kwamba mi yangu na mwanamke anaelewa Tu hahahaha Mungu huyo.

[15/03, 17:13] My number: Mwingine hata magari wanatembelea ya serikali wanawake wakiyaona wanadhani ni ya mabwana wanaowatongoza, wengine kujifanya walokole kabisa, wengine hujifanya wamiliki wa maduka makubwa kumbe ni wahudumu mle tu.

Na bahati mbaya hakunaga mwanamke mwenye ujasiri wa kusema nioneshe hati miliki au wa kuuliza nyaraka za umiliki wa vitu anavyotambia I know mimi ni mwanaume, kwa wengine anakudanganya sijaoa kumbe ana mke, mwingine wameachana na mke kwa tabia chafu chafu anakwambia yeye ndo kasalitiwa , mwingine atakwambia mke wangu kafa kwa ajali kumbe UKIMWI na hao huwa wajanja hutanguliza story tamu za kwamba mi sifanyi mapenzi na mwanamke mpaka nipime kumbe anamuandaa mwanamke kisaikolojia ili amtafune yaani majanga mengi mno.

15/03, 17:13] wife : Nimekuelewa mume wangu na namba yake naiblok kabisa.
wee jamaa bado sana uwezo wako wa kulewa mimi mke wangu aliwahi niambia wanaume wengi wananitongoza ...hapo ananiambia yupo na mwanaume wake hapohapo ili wasikilize nitajibu nini. nikamwambia nitakujiu baada ya wiki ksiha nikanyamaza nikawa nimejua kuwa wanakula jamaa, nikanyamaza kimya nikamfuatilia kimyamkimya nikamkamata live...wewe unaamini hafanyi hivyo. wewe umekosea kumjibu ungekaa kimya halafu kama msomi kweli unamkamata.
 
mkuu upo nje ya AFRICA HATA DOLA 45 KUTUMA KWA MKEO UNASHINDWA . .SASA C BORA URUDI TU HAPA TUVUMILIE WOTE HAYA MATUSI NA KEJELI ZA JIWE """"/

...AU Nikwamba MKEO AMEZOEA KUOMBA OMBA TU SO WAMFICHIA AIBU ZAKE KWETU ""??
halafu mwanamke hata aliw vipi huwa hasemi...waweza kumfumania na njemba ndani akaishia kujitetea tu ...ooohhh HAMNA BWANAA ALIKUWA ANANIPIMA KIUNO HUYU NI FUNDI CHEREHANI ..KUMBE KESHA PIMWA OIL
 
We mwanaume punguza upuuzi unaletaje ujinga hapa??????????????????? Jiongeze basi uko sio kuonyesha uzembe kiasihicho hatakama ni story za vijiwe
 
Qmamae yani kaamua kuja kunisemea kwako... Dahh ngoja hiyo laki moja namtumia sasa ivi na tamu yake staki tena na iyo ela asinirudishie *****
 
Back
Top Bottom