Acheze mbali na mke wangu nitaua bila kukusudia

Acheze mbali na mke wangu nitaua bila kukusudia

Inasikitisha sana...


Cc: mahondaw
Ole wakooooo..[emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji182] [emoji182] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
 
Mke wa Mtu unaombaje hela kwa jamaa ndo maana wanamegwa kirahisi rahisi tu. Mtu kashaumizwa hapo yan ni ile kujikosha au kitu kimebuma njemba ikamwambia namwambia mumeo ndo kajiwahi hivyo.
 
Mkuu usiumize kichwa, mwanamke hafai kuchunga, ni kumuelekeza ajue kipi kizr na kipi kibaya, we piga kazi usimuwaze, mwanamke hahitaji wiki au mwez au lisaa kukusaliti kama ni msaliti hata dakika tano tu anakusliti akienda hata kuoga na upo ndani, saiv upo mbali kua na imani na mkeo mengine yaendelee bila ivo hutafanya kazi utakaa kumuwaza
 
Juzi tu nimemtindua mmoja almanusra nimfumue mshono kwa sababu hiyo hiyo ya kukopakopa hela ilhali mumewe yupo anamtizama tu
 
MKUU USHALIWA HAPO, ANACHEZA NA AKILI YAKO. NA KWA RISALA HLO KESHAJUA KUWA WEWE NI BOGUS NA HUBANDUI KWAKE.

UKIONA MKEO ANAKUAMBIA WANAUME WALIOMTONGOZA KUNA MAWILI

1. Hamtaki huyo mwanaume ila wale anaowapenda hakuambii

AU

2. Anakuambia ili kujihami, usimshuku huku akiendelea kutanua paja
noma sana
 
A very wrong platform to dispose personal and confidential issues relating to family.
You should have made a "story" rather than exposing the "real story".
Anyway, may God help your marriage mzazi.
 
Huko nje ya africa umeenda kufanya nn kama huwezi kuhudumia mkeo hata laki?!
nashangaa sana, halafu anakuja kulalamika
labda nje ya afrika ni kijijini kwao
Wanaume wengine wanashangaza sana, badala aone ni ujinga wake kutojua wajibu wake analeta kubweka bweka huku
 
Back
Top Bottom