Acheni Unafiki, mnakera sana! Hata haipendezi

Unafiki mbaya sana....
43864881828f669674900910486c157f.jpg

afdf5eb69006fa8f48227d197e5718f7.jpg


Utasikia:-

"So sad"
"Jamani inaumiza sana"
"Mwili wangu wote umesisimka"
Simply because ni Mtoto wa Kizungu.


Ni unafiki wa kipuuzi sana. Ndio maana hata viongozi wetu wanatuongoza kinafiki nafiki.

Unajifanya unajali sana mtoto mmoja wa kizungu anaye ugua Cancer.. Wakati watoto wa kiafrika huku barani Africa wanakufa kila kukicha.....
d9fe8248b276ee672d8aabbc2ea7f386.jpg
7c681fa5e3c71a8db7dad89c332109f3.jpg
View attachment 447106
Tuacheni unafiki wa kujipendekeza.

Katika kipindi/muda ambacho Dogo Bradley ametabiriwa kuishi kabla hajakutana na Kifo chake, bila shaka yapata watoto takribani 20 wa kiafrika watafariki. Je hao 20 si muhimu zaidi.
7f11ecc48d7912753cb1c3f0dd41a0c4.jpg
d595354e3d606b41034917626d616710.jpg

Au mnamaanisha tuonyeshe kuumizwa sana na mtoto Bradley kwa kuwa yeye ni wa kizungu? Halafu tuwapotezee hawa wakwetu kwa sababu kifo kwao ni kawaida?
what's your point bro
 
Kuumia kwa watoto wa kiafrika,haimaanishi kumjali huyo mtu ni unafki.kila mtu anahaki na hujalazmishwa anza ww kupost waafrika .la sivyo we ni mnafki pia.
 
Big point. Siwez sema tubadilike bali tujitambue.

Kwanza, mwafrika is the most hunted animal in this world compared to the animal itself.

Sijui wapi tulipokosea, tuna safari ndefu sana.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom