Acheni Unafiki, mnakera sana! Hata haipendezi

cdhani kama ni unafiki wa sisi wat wa chini ila ni watu wenye uwezo wa kufanya kitu kama hicho ndio wanafiki...i mean wenye nafasi kutowajali wa chini.....mf watu wenye social media au viongozi ...hata bradley issue yake ingekuwa promoted na john wa kawaida england isingepata popularity kama hii....akitokea mwafrika akaweka lets pray for aliyescorpiniwa ...we will
Nimejaribu kutoa mfano hapo awali.

Ubaguzi & Unafiki si wa aina pekee unao uzungumzia. Kwa mfano

Kuna mtu anaandika kabisa. "Dah mineumizwa sana na hili la Bradley" au "Merry Christmas Bradley".

Lakini mtu huyo huyo hajawahi kuonyeshwa kuumizwa na hali ya watoto wa kiafrika kwenye hizo picha na pengine hajawahi hata kuwatakia Christmas watoto wa kiafrika wenye hali mbaya.

Huu ndio unafiki niuzungumziao.
 
Sijui wewe umelichukuliaje hili la huyu mtoto..

Mimi niliumia sana niliposikia amebakiza siku kadhaa tu za kuishi hapa duniani..hicho ndicho kilichoniumiza..na kwa ubinadamu tu lazima uumie sana pale unaposikia mtu ameambiwa amebakiza siku chache za kuishi,haswa kwa mtoto kama yule!!

Hawa wetu huku sijasikia taarifa za kitabibu zikisema wamebakiza mwezi tu wa kuishi..ningesikia na kuwaona pia ningeumizwa sana!
Kwa hivyo kwa hali waliyonao hawa wa kiafrika kwako ni OK.

Maana unaonyesha kuunizwa zaidi na yule aijuaye siku yake ya kufa kuliko yule asiyejua siku yake ya Kufa.....
 
Siona hata pointi yako hapo...huyo ni Mtoto wa kizungu na analiliwa na Wazungu wenzake kwa matatizo ambayo hajajitakia.

Kuna wa afrika wanamlilia pia huyo Bradley, sijui nao ni wazungu. Ngoja nivae miwani pengine sijawaona vyema....
 
Siona hata pointi yako hapo.
Hayo matatizo yenu ya Africa unataka nani awahurumie? haohao Wazungu wakiwahimiza kuzaa kwa mpango mnawashutumu kuwa wana wivu na hawataki muongezeke.

Hii ndio point yangu.

Kwanini matatizo yetu waafrika hayatugusi sana kama tunavyojishaua kuguswa na matatizo ya wazungu?
 
Unafiki mbaya sana....
43864881828f669674900910486c157f.jpg

afdf5eb69006fa8f48227d197e5718f7.jpg

Utasikia:-

"So sad"
"Jamani inaumiza sana"
"Mwili wangu wote umesisimka"
Simply because ni Mtoto wa Kizungu.

Ni unafiki wa kipuuzi sana. Ndio maana hata viongozi wetu wanatuongoza kinafiki nafiki.

Unajifanya unajali sana mtoto mmoja wa kizungu anaye ugua Cancer.. Wakati watoto wa kiafrika huku barani Africa wanakufa kila kukicha.....
d9fe8248b276ee672d8aabbc2ea7f386.jpg
7c681fa5e3c71a8db7dad89c332109f3.jpg
View attachment 447106
Tuacheni unafiki wa kujipendekeza.

Katika kipindi/muda ambacho Dogo Bradley ametabiriwa kuishi kabla hajakutana na Kifo chake, bila shaka yapata watoto takribani 20 wa kiafrika watafariki. Je hao 20 si muhimu zaidi.
7f11ecc48d7912753cb1c3f0dd41a0c4.jpg
d595354e3d606b41034917626d616710.jpg

Au mnamaanisha tuonyeshe kuumizwa sana na mtoto Bradley kwa kuwa yeye ni wa kizungu? Halafu tuwapotezee hawa wakwetu kwa sababu kifo kwao ni kawaida?
Niwatakie heri ya krismas ,kwani krismass ndio nn mim siijui
Kuna uzi Umeandikwa:

"Merry Christmass Bradley."

Wewe mwenyewe Umeshawahi kuwatakia Heri ya Christimass hawa watoto wa kiafrika...?
 
Nilivyoona ile taarifa niliumia kama mzazi, kama ambavyo ningeumia kwa mtoto yoyote awe wa kitanzania....kihindi....kijapani...kichina....sidhani kama kuna habari kama hiyo ingehusu mtoto wa kiafrika watu wasingeumia.....ninachoona kwako mtoa mada ni chuki yako tu....nakushauri kuwa na moyo wa upendo kwa mtu yoyote bila kujal kabila, rangi wala utaifa
 
Wewe ndio mnafiki
Hao watoto wa kiafrika ni njaa hiyo huyo wa kizungu ni cancer.njaa na cancer nini kinazuilika?

Kwa hivyo unashauri tusionyeshe hisia zetu kwa hawa watoto wa kiafrika kwa sababu tu wana njaa....

Badala yake tuonyeshe kuumizwa na mtoto wa kizungu kwakuwa anaugua Cancer....

Umenichekesha sana Mkuu!!!!!! Duh!
 
Kuna uzi Umeandikwa:

"Merry Christmass Bradley."

Wewe mwenyewe Umeshawahi kuwatakia Heri ya Christimass hawa watoto wa kiafrika...?
Hivi tukisema tuwatakie wote tunawajuaa,,?mbona huwa wanaombewa tu kwa sala za makanisani na misikitini,umeumia mno huyo mtoto kutakiwa sikukuu njema
 
Kama watu wamekanusha laivu utafiti kwamba kuna ZIKA Unafikiri mda wa kuwaonea huruma hao watabikao wanao.
 
Unafiki mbaya sana....
43864881828f669674900910486c157f.jpg

afdf5eb69006fa8f48227d197e5718f7.jpg

Utasikia:-

"So sad"
"Jamani inaumiza sana"
"Mwili wangu wote umesisimka"
Simply because ni Mtoto wa Kizungu.

Ni unafiki wa kipuuzi sana. Ndio maana hata viongozi wetu wanatuongoza kinafiki nafiki.

Unajifanya unajali sana mtoto mmoja wa kizungu anaye ugua Cancer.. Wakati watoto wa kiafrika huku barani Africa wanakufa kila kukicha.....
d9fe8248b276ee672d8aabbc2ea7f386.jpg
7c681fa5e3c71a8db7dad89c332109f3.jpg
View attachment 447106
Tuacheni unafiki wa kujipendekeza.

Katika kipindi/muda ambacho Dogo Bradley ametabiriwa kuishi kabla hajakutana na Kifo chake, bila shaka yapata watoto takribani 20 wa kiafrika watafariki. Je hao 20 si muhimu zaidi.
7f11ecc48d7912753cb1c3f0dd41a0c4.jpg
d595354e3d606b41034917626d616710.jpg

Au mnamaanisha tuonyeshe kuumizwa sana na mtoto Bradley kwa kuwa yeye ni wa kizungu? Halafu tuwapotezee hawa wakwetu kwa sababu kifo kwao ni kawaida?
Mkuu nahisi hujui maana ya unafki... ungekuwa unajua maana ya neno unafki usingekuja na uzi wa namna hii. ngoja nikupe sifa moja kuu ya mnafiki...
Mnafiki ni mtu ambaye hayupo real, atafanya jambo X huku moyon mwake anaamin katika jambo Y, aina hii ya watu wanapatikana CCM... sasa turudi kwenye mada..

unadhani watu walioguswa na habari za huyo mtoto wa kizungu ni wanafki? unadhani ndani ya mioyo yao hawajaguswa na hiyo habari?

mkuu hawa watu wapo real sana, wameumizwa sana, wengine wamelia sana na wengine wamefunga kwa ajili ya maombi.

Badala ya kuwaita wanafki ni bora ukawaonea huruma, hawa ni watumwa wa kifikra, wametekwa akili na wazungu na katika hili wazungu wamefanikiwa sana.
Lengo la wazungu limetimia, kuna mtu anamnyanyasa mtoto wake wa kambo, hampendi kabisa anamnyima chakula, anamyima elimu bora ila hili la mtoto wa kizungu limemuumiza mno na limemfanya akose usingizi.
Huyi mtu sio mnafiki ni mpumbavu, punguwani, mshamba, lofa, bwege, hayawani tu.

nasubiri mapovu ya wadau
 
Kila mtu na maoni yake, ila nadhani kilichowagusa wengi ni huyo dogo kuambiwa ana miezi miwili tu ya kuishi hapa duniani. Baada ya kujua hivyo, ameomba afanyiwe kitu ambacho kwake atakiona ni bora katika siku zilizobaki.
Hivyo aliomba atumiwe cards za Christmas, na mara ya mwisho nilisoma somewhere zilikua zimefika 85000.
Kwa hiyo ukiona watu wameandika merry Christmas Bradley nadhani wanashiriki 'kumwish' digitally. Sidhani kama huo ni unafiki
 
Kuna wa afrika wanamlilia pia huyo Bradley, sijui nao ni wazungu. Ngoja nivae miwani pengine sijawaona vyema....
Ok, labda nilikuwa sijasoma uzi vema....kama kuna Waafrika nao wameunga body si mbaya saaana, ingawa ni kama kuendekeza unyonge au kuigiza tu.

Ni sawa na upo msibani nyumbani kwako hujatoa chozi lakini mara unasikia Michael Jackson amefariki unaanza kulia na kugaragara chini...yote ni misiba lakiniiiiii.....ofcourse inaacha question marks nyingi.
 
Unafiki mbaya sana....
43864881828f669674900910486c157f.jpg

afdf5eb69006fa8f48227d197e5718f7.jpg

Utasikia:-

"So sad"
"Jamani inaumiza sana"
"Mwili wangu wote umesisimka"
Simply because ni Mtoto wa Kizungu.

Ni unafiki wa kipuuzi sana. Ndio maana hata viongozi wetu wanatuongoza kinafiki nafiki.

Unajifanya unajali sana mtoto mmoja wa kizungu anaye ugua Cancer.. Wakati watoto wa kiafrika huku barani Africa wanakufa kila kukicha.....
d9fe8248b276ee672d8aabbc2ea7f386.jpg
7c681fa5e3c71a8db7dad89c332109f3.jpg
View attachment 447106
Tuacheni unafiki wa kujipendekeza.

Katika kipindi/muda ambacho Dogo Bradley ametabiriwa kuishi kabla hajakutana na Kifo chake, bila shaka yapata watoto takribani 20 wa kiafrika watafariki. Je hao 20 si muhimu zaidi.
7f11ecc48d7912753cb1c3f0dd41a0c4.jpg
d595354e3d606b41034917626d616710.jpg

Au mnamaanisha tuonyeshe kuumizwa sana na mtoto Bradley kwa kuwa yeye ni wa kizungu? Halafu tuwapotezee hawa wakwetu kwa sababu kifo kwao ni kawaida?
Naona unazid kujiaibisha Tu, umeona kule haitoshi umeamua kuanzisha NA Uzi kabisa...Acha ubaguzi kijana hautakupeleka popote zaidi ya kukutesa Tu.....

Kwa watu wenye upeo NA akili timamu wanaangalia shida aliyonayo huyo mtoto NA si rangi yake,hata hao watoto wengine unaowazungumzia ungeanzisha Uzi wao tungewaulumia vile vile kwasisi wenye roho za kibinadamu, ni mpumbavu pekee Tu ndiye anayeweza kufurahia shida za mwenzake ... Utu aubagui rangi, kabila wala kitu chochote....

Ndio design ya watu kama nyinyi
kisa tu ww mkristo basi ukiona muislam anashida hutomuhurumia kisa ni mlengo tofauti ....
 
Sijui wewe umelichukuliaje hili la huyu mtoto..

Mimi niliumia sana niliposikia amebakiza siku kadhaa tu za kuishi hapa duniani..hicho ndicho kilichoniumiza..na kwa ubinadamu tu lazima uumie sana pale unaposikia mtu ameambiwa amebakiza siku chache za kuishi,haswa kwa mtoto kama yule!!

Hawa wetu huku sijasikia taarifa za kitabibu zikisema wamebakiza mwezi tu wa kuishi..ningesikia na kuwaona pia ningeumizwa sana!
Ni kwel kabisa mkuu.....Huyo jamaa ndio mnafiki NA mbaguzi mkubwa.....Ukimfuatilia vizur ni rahis sana kumgundua wala huitaji kufikir sana
 
Back
Top Bottom