Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,399
- 40,300
Nipo ugenini katika mishe zangu za kila siku,nikaamua kumuita mchepuko wangu ambaye yuko mkoa mwingine aje ani-keep busy huku niliko.
Tukakubaliana na akaomba nimtumie nauli. Baada ya masaa manne kupita baada ya kumtumia nauli,akaghairi safari akaanza kuweka sababu mara nitakuja siku nyingine,mara mimi ndio niende huko aliko.
Ameniharibia siku kweli imebidi nivunje mawasiliano.
Nawasihi wale wapenda kula nauli za watu acheni tabia hizo.