Acheni tabia za kula nauli za watu kama hamna nia

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
28,809
39,015
Nipo ugenini katika mishe zangu za kila siku,nikaamua kumuita mchepuko wangu ambaye yuko mkoa mwingine aje ani-keep busy huku niliko.

Tukakubaliana na akaomba nimtumie nauli. Baada ya masaa manne kupita baada ya kumtumia nauli,akaghairi safari akaanza kuweka sababu mara nitakuja siku nyingine,mara mimi ndio niende huko aliko.

Ameniharibia siku kweli imebidi nivunje mawasiliano.

Nawasihi wale wapenda kula nauli za watu acheni tabia hizo.
 
Kuna mwanangu aliwahi kutuma nauli, akapika maini kilo moja na nusu na kitimoto rost cha kutosha friji ikawa imesheheni halafu shemeji yetu mpendwa hakuja vile vinywaji na mapochopocho ikabidi tufanye tu tafrija.. jamaa alichukia sana lakini hakua na namna toka siku ile demu akifika vitu ndo vinaanza kukangizwa
 
Nipo ugenini katika mishe zangu za kila siku,nikaamua kumuita mchepuko wangu ambaye yuko mkoa mwingine aje ani-keep busy huku niliko.Tukakubaliana na akaomba nimtumie nauli.......baada ya masaa manne kupita baada ya kumtumia nauli,akaghairi safari...akaanza kuweka sababu mara nitakuja siku nyingine,mara mimi ndio niende huko aliko.....ameniharibia siku kweli imebidi nivunje mawasiliano. Nawasihi wale wapenda kula nauli za watu acheni tabia hizo.
Ukome!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom