Acheni tabia za kula nauli za watu kama hamna nia

Aisee wewe mafiaa...
 
Ulikutana na mtoto kiazi... Una kutana na wakali wa hizi kazi ukituma tu inahama mtandao wa kwanza... Inahamia wa pili, Inahamia wa Tatu mara paap imepelekwa NMB utarudisha kokoto
 
 
Ulikutana na mtoto kiazi... Una kutana na wakali wa hizi kazi ukituma tu inahama mtandao wa kwanza... Inahamia wa pili, Inahamia wa Tatu mara paap imepelekwa NMB utarudisha kokoto
sema washamba wakiona ile pesa anachanganyikiwa hawezi hata kumbuka kurudisha muhamala...
 
sema washamba wakiona ile pesa anachanganyikiwa hawezi hata kumbuka kurudisha muhamala...
Hahahahahaha ndo ujinga huo... Hakuna pesa tamu kama ya nauli jamani nasema hakunaaaaaa

Yaani ukienda kuitumia huskii maumivu wala uchungu unaenda kwa mariiingo kabisa heheheheheh
 
We konkii
Eeeh tena wakina sie tuna laini za mitandao yote wooooi.... Ikiingia kwenye tigo kituo cha kwanza m pesa, cha pili Airtel money, cha Tatu halopesa cha nne kama sio kutolewa bank baasi hakuna kurudisha nauli na hakuna kwenda kwa mtuma nauli...... Unatuma nauli ili iweje.... Ukiwa na hamu na mpenzio mwambie aje tu pesa utampa akifika... Kama hana nauli akakopeeee
 
Hizo ni pesa huwa ni zinatunzwa maalumu kwa dharura kama hizo,kamari.Kwakuwa unakuwa ushajipanga,yani, kupata ama kukosa,wala hupaswi kujuta. Wenye hela zao hupoteza sana hizo kwa watu tofauti.Lakini, atapoteza leo,kesho anakula. Na hiyo ndiyo siri ya kufanikiwa kwa mcheza kamari yoyote hapa ulimwenguni.

Cha msingi,siku ukipata game,lipiza kisasi. Hakikisha uchi wake unakuwa mwekundu kama jezi za watani wa Yanga.
 
Hii ishanitokea sana
 
usiwaze. Maana haujui mungu anakuepusha na nini.
mimi nikimtumia demu nauli asipokuja uwa nashukuru mungu.
Wala sigombani nae demu maana naamini kuna kitu kimeniepuka.
juzi TU kuna mmoja yupo arusha nimemtumia nauli aje dar. Kakausha. Sijamtafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…