dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,907
- 8,246
Tulishalizungumza hili kitambo sana. https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1216516/
Aisee wewe mafiaa...Ha ha ha,umenikumbusha mkuu nilimgegeda mtoto mmoja matata sana kwa makubaliano nimpe 250,000/=ili anivulie pichu,nikasema sawa naomba nikutumie kwa tigo pesa,nikatuma mzigo akapokea,nikaona yuko full tabasamu nikachukua logde nikala,baada ya masaa matatu nikarudisha muamala na kumtumia 20,000/=tu,
Ebana nilitukanwa mitusi yote ya dunia hii
Huu ujanja mnaujua nyie tu? Kwa taarifa yako ukituma tu nauli inahama mitandao miwili hapo hapo... Sijui utajirudishia ninikwani hujasikia siku izi kuna huduma ya kurudisha muhamala bila kuwasiliana na wakala??
Ulikutana na mtoto kiazi... Una kutana na wakali wa hizi kazi ukituma tu inahama mtandao wa kwanza... Inahamia wa pili, Inahamia wa Tatu mara paap imepelekwa NMB utarudisha kokotoHa ha ha,umenikumbusha mkuu nilimgegeda mtoto mmoja matata sana kwa makubaliano nimpe 250,000/=ili anivulie pichu,nikasema sawa naomba nikutumie kwa tigo pesa,nikatuma mzigo akapokea,nikaona yuko full tabasamu nikachukua logde nikala,baada ya masaa matatu nikarudisha muamala na kumtumia 20,000/=tu,
Ebana nilitukanwa mitusi yote ya dunia hii
Ha ha ha,umenikumbusha mkuu nilimgegeda mtoto mmoja matata sana kwa makubaliano nimpe 250,000/=ili anivulie pichu,nikasema sawa naomba nikutumie kwa tigo pesa,nikatuma mzigo akapokea,nikaona yuko full tabasamu nikachukua logde nikala,baada ya masaa matatu nikarudisha muamala na kumtumia 20,000/=tu,
Ebana nilitukanwa mitusi yote ya dunia hii
ha ha ha ha badilikeni...
Kwa kweli nachukia watu wanaoendekeza michepuko, nikiwaona najisikia kutapika
We konkiiHuu ujanja mnaujua nyie tu? Kwa taarifa yako ukituma tu nauli inahama mitandao miwili hapo hapo... Sijui utajirudishia nini
Ulikutana na mtoto kiazi... Una kutana na wakali wa hizi kazi ukituma tu inahama mtandao wa kwanza... Inahamia wa pili, Inahamia wa Tatu mara paap imepelekwa NMB utarudisha kokoto
sema washamba wakiona ile pesa anachanganyikiwa hawezi hata kumbuka kurudisha muhamala...Ulikutana na mtoto kiazi... Una kutana na wakali wa hizi kazi ukituma tu inahama mtandao wa kwanza... Inahamia wa pili, Inahamia wa Tatu mara paap imepelekwa NMB utarudisha kokoto
Hahahahahaha ndo ujinga huo... Hakuna pesa tamu kama ya nauli jamani nasema hakunaaaaaasema washamba wakiona ile pesa anachanganyikiwa hawezi hata kumbuka kurudisha muhamala...
Eeeh tena wakina sie tuna laini za mitandao yote wooooi.... Ikiingia kwenye tigo kituo cha kwanza m pesa, cha pili Airtel money, cha Tatu halopesa cha nne kama sio kutolewa bank baasi hakuna kurudisha nauli na hakuna kwenda kwa mtuma nauli...... Unatuma nauli ili iweje.... Ukiwa na hamu na mpenzio mwambie aje tu pesa utampa akifika... Kama hana nauli akakopeeeeWe konkii
ha ha ha ha hakuna mtu ambaye hachepuki,asipochepuka mwili nafsi itachepuka tu.Me tumeumbwa kutamani kwanzaHii Ni talent ndg, haifi
ha ha ha ha naona unakesha mkuu ili watu wa wanga wasije kukutoa rohoKaribu bia mkuu mida hii ya wanga
Hii ishanitokea sanaKuna mwanangu aliwahi kutuma nauli, akapika maini kilo moja na nusu na kitimoto rost cha kutosha friji ikawa imesheheni halafu shemeji yetu mpendwa hakuja vile vinywaji na mapochopocho ikabidi tufanye tu tafrija.. jamaa alichukia sana lakini hakua na namna toka siku ile demu akifika vitu ndo vinaanza kukangizwa