Acheni Tabia Chafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Acheni Tabia Chafu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PastorPetro, Aug 24, 2010.

 1. PastorPetro

  PastorPetro Senior Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nasikitika sana kuwa hadi leo pamoja na kuwa kuna magonjwa ya zinaa tele kuwa Watu bado wanajazana Gesti kufanya uharamu wakati wa lunch break. Yaani ulizia gesti yoyote City Centre saa za mchana, utaambiwa umejaa! Bukoba ndo hawajakoma, na maplastiki kwenye godoro ni biashara kubwa mno!:eek2:

  Acheni dhambi katika jina la Bwana!
   
 2. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ulijuawaje. Kama na wewe hukuwa mmoja wa kutafuta hivyo vyumba. Hebu tuelezee
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  kwa jina la bwana yesu na wewe usirudi tena huko kuona huo uchafu
   
 4. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo kali. Mimi simo!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Sijakuelewa umemaanisha nini kusema hivyo maana ni kama vile umekurupuka haraka na pia umejuaje kama city centre gesti zinakuwa zimejaa mchana?
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  your Location=Boston Massach.
  Post yako issue za cety centre ya boston au dar? hasira yako ni kwa kuwa ulikosa chumba?
   
 7. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hii ndio ileeee....! "Mbona unaniangalia?, lakini nawe umeonaje unaangaliwa?"
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  jamani msameheni huyu kuna mawili

  alilipa hela bila kujua hela aliolipa ni short time akatimuliwa\\

  ama alikula DEO(chabo)wahusika wakamtoa resi akaona aje kumalizia asira huku lakini vyote nakupongeza we ni mpambanaji kama DK SILAA
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  siku nyingine usiogope taja jina kuna mabwana wengi

  inv
  mwanakilegi
  sam
  appy

  taja jina la bwana yesu hata shetn anaitwa bwana ??ama ulimaanisha mwingine
  najua bwana yesu ndiop asiependa hivi wengine siwajui
   
 10. Homo Habilis

  Homo Habilis Senior Member

  #10
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  aisifiaye mvua jua imemnyeshea.!
   
 11. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Naona kama vile mwenzake kachukuliwa katika mazingira haya....! Apewe pole....
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  ....nae anafanya hivyohivyo!
   
 13. D

  Dick JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Au amefunuliwa na bwana?
   
 14. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  jina la bwana lihimidiwe!Amen
   
 15. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pastor mbona una hasira hivo? kama ulikosa chumba mchana ungerudi jioni baada ya kazi au shosti alisema ikikosekana sasa zoezi life?
   
 16. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sijui ulijuaje haya mpendwa!
   
 17. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #17
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hehee.kakasirika ile mbaya lkn sijui yeye alijuaje haya.
   
 18. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwikwikwikwikwi
   
 19. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Una evidence au unalopoka ?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,135
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Huyu mmoja wa wateja wa guest za city centre mchana ndo maana ana data zote kuwa vyumba hujaa msameheni ni hasira za kukosa chumba hizo
   
Loading...