Kipindi hakihitaji complications jje hilo ni kwa simu za aina zote? Akitokea Wa kukuokota anajua hayo ya sijui emergence namba zilipo?Mbona ipo, unaselect namba za emergence
Hiyo ni kwa nyie Wa maofisini wenye ma daktari wenu binafsiboss hizo info za daktari ndizo husaidia na kuwapata ndugu wa mgonjwa kwenye nchi zilizoendelea maana dakt anakuwa na address yako huko ofisini kwake mfano nyumba namba 40 mtaa wa lumumba so inakuwa rahisi kupata ndugu za mgonjwa
Nimekumbuka uncle alipata akali simu yake ndio ilitumika kutupatia taarifa.
Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha
Tunaziwekaje hizo simu za emergency mode, mkuu ?Wazo la kipumbavu... Nowadays simu zina emergency mode. Hivyo unaweza kuchagua contacts ambazo zinaweza kupigiwa kama ikitokea umepata matatizo. Sema watu wengi hawajui kutumia simu, na hapo ndio matatizo yanapoanzia.
Na mm umenilove ee,Nimeona na nimesha sett tayari.
Hakika jf ni kisima cha maarifa...
ilove u jf na watu wake
Hapana mkuu simu ni yangu so nikifa mimi na simu nayo imekufa.😣Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa Corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha.
Kama mimi simu yangu unaadd kupitia kwenye contacts. Then hizo taarifa zitakuwa accessed hata kama simu yako ipo locked.
Yehodaya akili zako saa zingine unazjua mwenyewe nimecheka sana jamani..Ee Mungu usinichukue mapema hivi jamani
Ipo hivi... Baadhi ya simu unaweza kuadd taarifa ambazo mtu yoyote ataweza kuziaccess hata kama simu yako itakuwa ipo locked. Na siyo kuziaccess tu, ataweza hata kupiga kwenye namba za simu ambazo umeweka huko kwenye emergence mode.Hivi ndo vitu muhimu vya kufundishana.sio kutoa parswed.
Hembu dear tufundishe.kama hutojali
Lipo hili, kuna namba unaziweka kama emergency calls, hizo zaweza pigwa bila kufungua password ya simu, tena waweza weka taarifa zako zingine muhimu kama blood group, any allegies ulizonazo nkHivi simu zote ukishaweka password hakuna namna ya kuruhusu namba mbili au tatu zisizo na password kwa ajili ya dharura kama hizo?Watengenezaji wa simu wangewezesha hilo.
Ni kwamba huijui emergency number au una agenda nyingine? Tafuteni kazi halali acheni ujanjaujanja.Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa Corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha.