Kinyambiss
JF-Expert Member
- Dec 2, 2007
- 1,374
- 72
kwanini wasilime vyote since people need energy and food...
Hongera san Mzee MJJ naona hoja yako muhimu imemfikia hata Mkuu Kofi Annan
kwanini wasilime vyote since people need energy and food...
KUPANGA NI KUCHAGUA, KUTOCHAGUA NI KUJIUMBUA!
Na. M. M. Mwanakijiji
kwa mara nyingine tena naomba niwe mleta habari mbaya kwa Watanzania. Hili wazo la kukimbilia kulima miwa ili mpate mafuta litaifikisha nchi pabaya. Kuna maeneo mengi ambayo watu walikuwa wanalima chakula sasa wanakimbilia kulima miti ya mafuta na miwa.
Yota haya yanatokea kwa sababu ya imani ya utajiri wa haraka haraka kwani kama hatuwezi kuchimba mafuta kwanini basi tusiyazalishe kwenye mimea? Ingawa mafuta yatokanayo na mimea (biofuel) ndio mojawapo ya bidhaa adimu zaidi duniani sasa hivi, hali halisi ni kuwa kwa nchi kama ya kwetu, utajiri wa kweli hauko kwenye miwa na miti ya mbono....................
........Haihitaji uanasayansi kuona kuwa tunakoelekea siko, tubadili njia na tuje na sera ambayo iko balanced ili tusije tukajikuta tunatilia mkazo mafuta halafu tukishapata hizo hela za mafuta, hatuna chakula cha kununua! Kupanga kwa kweli ni kuchagua, na kuchagua ni kupangua, na ukipangua utakuwa unachagua!
Serikali yatahadharishwa kuhusu kilimo cha mibono
2008-06-07 22:22:24
Na Badru Kimwaga, Jijini
Serikali imetahadharishwa na kutakiwa kufanya utafiti wa kina juu ya kilimo cha zao la mbono kilichochukua sehemu ya kilimo cha mazao ya chakula kwa baadhi ya mikoa ili kuona kama itawanufaisha kweli Watanzania au vinginevyo.
Aidha, Serikali imekumbushwa kuangalia kwa umakini hatua yake ya kugawa ardhi kwa wawekezaji wa kilimo hicho kipya kwa muda mrefu bila ya kuwa na hakika kama ardhi hizo zitatumika kwa shughuli zilizokusudiwa kwa muda wote uliopangwa.
Tahadhari hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na Mtaalam wa Ardhi wa Shirika la Oxfam, Bw. William Ole Nasha na Mchumi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Lenny Kasoga, wakati walipokuwa wakizungumza kwenye kipindi kimoja kilichorushwa na kituo cha luninga cha ITV.
Wataalam hao wamesema kuwa, ipo haja kwa serikali kufanya utafiti wa kina kuona kama kilimo cha Jatrofa inaweza kuleta tija kwa wakulima na taifa kwa ujumla badala ya kukurupukia kuhamasisha ili kuwaridhisha mataifa makubwa ya nje.
President Jakaya Kikwete, who also serves as AU chairman, has urged the international community to take precautionary measures to avert the danger of reduced food production when looking for alternative sources of energy, particularly bio-fuel.
Source link: http://www.guardian.co.uk/environment/2008/jul/03/biofuels.renewableenergySecret World Bank report: biofuel caused food crisis
Internal World Bank study delivers blow to plant energy drive
Biofuels have forced global food prices up by 75% - far more than previously estimated - according to a confidential World Bank report obtained by the Guardian.
The damning unpublished assessment is based on the most detailed analysis of the crisis so far, carried out by an internationally-respected economist at global financial body.
The figure emphatically contradicts the US government's claims that plant-derived fuels contribute less than 3% to food-price rises. It will add to pressure on governments in Washington and across Europe, which have turned to plant-derived fuels to reduce emissions of greenhouse gases and reduce their dependence on imported oil.
Senior development sources believe the report, completed in April, has not been published to avoid embarrassing President George Bush.
"It would put the World Bank in a political hot-spot with the White House," said one yesterday.
The news comes at a critical point in the world's negotiations on biofuels policy. Leaders of the G8 industrialised countries meet next week in Hokkaido, Japan, where they will discuss the food crisis and come under intense lobbying from campaigners calling for a moratorium on the use of plant-derived fuels.
It will also put pressure on the British government, which is due to release its own report on the impact of biofuels, the Gallagher Report. The Guardian has previously reported that the British study will state that plant fuels have played a "significant" part in pushing up food prices to record levels. Although it was expected last week, the report has still not been released.
"Political leaders seem intent on suppressing and ignoring the strong evidence that biofuels are a major factor in recent food price rises," said Robert Bailey, policy adviser at Oxfam. "It is imperative that we have the full picture. While politicians concentrate on keeping industry lobbies happy, people in poor countries cannot afford enough to eat."
Rising food prices have pushed 100m people worldwide below the poverty line, estimates the World Bank, and have sparked riots from Bangladesh to Egypt. Government ministers here have described higher food and fuel prices as "the first real economic crisis of globalisation".
President Bush has linked higher food prices to higher demand from India and China, but the leaked World Bank study disputes that: "Rapid income growth in developing countries has not led to large increases in global grain consumption and was not a major factor responsible for the large price increases."
Even successive droughts in Australia, calculates the report, have had a marginal impact. Instead, it argues that the EU and US drive for biofuels has had by far the biggest impact on food supply and prices.
Since April, all petrol and diesel in Britain has had to include 2.5% from biofuels. The EU has been considering raising that target to 10% by 2020, but is faced with mounting evidence that that will only push food prices higher.
"Without the increase in biofuels, global wheat and maize stocks would not have declined appreciably and price increases due to other factors would have been moderate," says the report. The basket of food prices examined in the study rose by 140% between 2002 and this February. The report estimates that higher energy and fertiliser prices accounted for an increase of only 15%, while biofuels have been responsible for a 75% jump over that period.
It argues that production of biofuels has distorted food markets in three main ways. First, it has diverted grain away from food for fuel, with over a third of US corn now used to produce ethanol and about half of vegetable oils in the EU going towards the production of biodiesel. Second, farmers have been encouraged to set land aside for biofuel production. Third, it has sparked financial speculation in grains, driving prices up higher.
Other reviews of the food crisis looked at it over a much longer period, or have not linked these three factors, and so arrived at smaller estimates of the impact from biofuels. But the report author, Don Mitchell, is a senior economist at the Bank and has done a detailed, month-by-month analysis of the surge in food prices, which allows much closer examination of the link between biofuels and food supply.
The report points out biofuels derived from sugarcane, which Brazil specializes in, have not had such a dramatic impact.
Supporters of biofuels argue that they are a greener alternative to relying on oil and other fossil fuels, but even that claim has been disputed by some experts, who argue that it does not apply to US production of ethanol from plants.
"It is clear that some biofuels have huge impacts on food prices," said Dr David King, the government's former chief scientific adviser, last night. "All we are doing by supporting these is subsidising higher food prices, while doing nothing to tackle climate change."
http://www.guardian.co.uk/environment/2008/jul/03/biofuels.renewableenergy
Gaijini.. umesema kitu kimoja muhimu sana; Watanzania tunaishi in the "now" hatutaki kuona mbali sana. Hivi miaka ishirini iliyopita wakati wa mabadiliko ya kiuchumi hakuna mtu aliyejua kuwa Dar inahitaji barabara mpya, kubwa na uongozi mzuri wa magari? Kwanini hatukujiandaa? Sasa leo hii tumekimbilia miwa na mimbono, mwakani ikitokea njaa hivi tuna udhuru kwamba ni "kazi ya Mungu"?
Kwanini wazungu wanajitahidi sana kuona mbali, wamejaliwa nini wenzetu kwenye neurons za bongo zao ambacho sisi tumenyimwa na muumba?
Suala la ruzuku kwa wakulima naona halija jadiriwa hapa... kuna tofauti kubwa kati ya mkulima wa Tz na ulaya katika ruzuku na ndio maana wakulima wengi wa Tz badala ya kwenda mbele kimafanikio wamekuwa wakirudi nyuma. Kwa upande mwingine ni vigumu kwa wakulima wa Tz kupenya katika soko la kimataifa kutokana na viwango vilivyopo katika uzalishaji na mazao ya vyakula, ambapo asasi zinazo simamia viwango hivyo ni za huko huko majuu.
Kasoro hizo kwa namna moja ama nyingine zinatoa nafasi kubwa kwa mashirika ya kigeni kuweza kutumia ardhi yetu kwa kilimo kiwe kwa ajili ya energy au vyakula.
Zaidi makampuni mengi ya kilimo yatazidi kuingia katika nchi zenye mfumo wa kilimo kama Tz, ili waweze kuzalisha mazao kwa ajili ya mafuta. Hii inatokana na sheria mpya ya Mazingira ya EU ambayo imeyataka makampuni ya kutengerneza magari katika Ulaya yenye viwango vidogo vya utoaji wa CO2 kuanzia mwaka 2012.