Acheni kulima miwa ya mafuta, limeni chakula!

SIA anzisheni kitengo chenu humu Muwe mantoa elimu kwa jamii na sisi kuwauliza maswali au muwe mnatoa regular lessons.
Poa fanyeni attachments kwenye mitandao tuwe tuna access taarifa hizo ili kurahisisha maendeleo ya Kilimo.
 
Hivi SUA wakuwaga hata na Banda la maonesho ya Sabasaba?

Sijawahi waona hata.

Naonaga UDSM tu
 
Kama ni miwa kwa ajili ya kuuzia viwanda vya sukari.hiyo siyo biashara utapata ugonjwa wa moyo kuhusu soko.Kuna unyonyoji uliopitiliza.ila kama ni miwa ya kuliwa hapo sawa.

Kwa sababu kuna tofauti ya mahitaji kwa aina hizi mbili za miwa sababu iko tofauti pia
 
Back
Top Bottom