si mbaya mkuu nzi kufia kidondani,au?
Hivi hajui kama wewe ni Managing Director wa NS company ltd
Du, kumbe BADILI TABIA anafanya fyatanga!!!! Au ndiyo kale kahudumu karembo!
Ole wako urudie kutema big gee shauri ya peremende,sitakusaidia tena.
Du, kumbe BADILI TABIA anafanya fyatanga!!!! Au ndiyo kale kahudumu karembo!
@ndo hako hako ka BADILI TABIA,kanapenda kusuka twende kilioni.
Na ya kwako niiseme?
Na ya kwako niiseme?
acha kutisha watu wewe nna daftari lako zima hapa halafu ges nani kanipa