acheni kujidai

Bishanga umenifanya nionekane kituko mbele za watu maana hapa mbavu sina
We bepari wapi wakati ulikuja kuchukua mkopo juzi kati hapa ofcn kwangu
achana naye hana sera huyo! au anadhani hatujui kuwa ye ndiye mchora tattoo maarufu pale kinondoni! atafutwa kwa sana na RPC!
 
hahahahahahaaaaaa ama kweli wewe mwanaume umepinda....

Yaani familia nzima ya Asprin umeitupia fyatanga..... Walaaaaahi wake wenzangu Yummy cacico, chini ya usimamizi wa Kongosho njoeni mumuone huyu mchoma mishkaki wa kiyuo cha usalama magameni anavyotupakazia....
 
Last edited by a moderator:
achana naye hana sera huyo! au anadhani hatujui kuwa ye ndiye mchora tattoo maarufu pale kinondoni! atafutwa kwa sana na RPC!
acha kunichafua kwa swahiba wangu Jabali aka Jidulamabambasi aka ze rok aka The Rock.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom