acheni kujidai

acheni kujidai

hahahahahahaaaaaa ama kweli wewe mwanaume umepinda....

Yaani familia nzima ya Asprin umeitupia fyatanga..... Walaaaaahi wake wenzangu Yummy cacico, chini ya usimamizi wa Kongosho njoeni mumuone huyu mchoma mishkaki wa kiyuo cha usalama magameni anavyotupakazia....
tena wewe BADILI TABIA nasikia ni mdokozi wa chenchi,unakimbiza wateja ujue.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hajui kama wewe ni Managing Director wa NS company ltd

nitonye sweetlady company ltd ? msajili wa makampuni kanambia kuna kampuni nyingine imesajiliwa kwa jina la vds company ltd ,waijua weye?
 
Last edited by a moderator:
nitonye sweetlady company ltd ? msajili wa makampuni kanambia kuna kampuni nyingine imesajiliwa kwa jina la vds company ltd ,waijua weye?

Hiyo imefilisika baada ya sweetylady kuuza hisa zake zote maana alikuwa na asilimia 80 ya hisa zote
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom