Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,190
- 2,652
- Thread starter
-
- #101
Swala la makeup mpaka Leo sijajua nani anawadanganya waweke ,mfano unakuta mdada kama hamisa mobbeto au Irene uwoya ni wazuri wa asili kbsa lakini Cha ajabu ikitokea event wanajaza make up utadhani mzimu umeibuka makaburini huko geitaUsiache kuwaambia na ukweli kuwa makeup haziwapendezi wakipiga picha ndo wanajiona wamependeza ila tukikutana nao macho kwa macho wanakua kama midoli ya udongo iliyopakwa rangi
Makeup huwa zinawaharibu sana zinapoteza uzuri wao wa asili hazivutii unaogopa hata kumgusa mtu unahisi atakuachia rangiSwala la makeup mpaka Leo sijajua nani anawadanganya waweke ,mfano unakuta mdada kama hamisa mobbeto au Irene uwoya ni wazuri wa asili kbsa lakini Cha ajabu ikitokea event wanajaza make up utadhani mzimu umeibuka makaburini huko geita
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Daa Hadi hurumaMakeup huwa zinawaharibu sana zinapoteza uzuri wao wa asili hazivutii unaogopa hata kumgusa mtu unahisi atakuachia rangi
Kuna mama mmoja makeup zimemuharibu sana nilibahatika kumuona siku moja bila makeup akiwa kwake kiukweli ngozi ya sura hadi imekua na mashimo mashimo yanaonekana kumbe zile makeup zikitumika sana huwa zinaenda kutanua matundu ya ngozi yasiyoonekana na mwisho yanaanza kuuonekana, ndo hapo mtu hawezi kuishi tena bila makeup lazima atumie ikazibe yale matundu yasionekane ili asiwe kitukuo
Huyo hata kumlala sitaweza, yaani ngozi tofauti kila mahali, harufu za ajabu aagrβΈ!Mtu anayejichubua huwa namchukulia kama mtu asiye na akili sawasawa. Unakuwa kama paka mweupe. Ukizeeka ndio kituko
Hao wanawake wanaojichubua hawajiamini.Wadada na wamama & baadhi ya wanaume wa kibongo acheni kujichubua mnakuwa mnatisha sana na hamvutii, unakuta mtu kajichubua Hadi mishipa ya kijani inajitokeza mwilini
Najua Kila mtu ana uhuru wa kufanya jambo analopenda lakini kama tunapinga rushwa,ujambazi ,ushoga basi na kujichubua inabidi ikemewe haraka
Kuna tukio Moja mdada alipendwa na jamaa mmoja kutoka Sweden yule mdada miezi sita waliyoachana na jamaa alitumia kujichubua jamaa anarudi miezi 9 mbeleni anakuta mwanamke kajichubua & alimuacha hapo hapo na matusi juu .
Vidole vya mkono, vya mguu na shingoni. Wengine wakikongoloka,na mishipa ya damu.
Lakini, ukiwaangalia waliojichubua,hasa wale wasio na uwezo wa kuendelea na mkologo, au wale waliozeeka, unaonaga ni sawa?! Japo ni maamzi ya mtu.Mmejua kutunyamba, japo mie sijajichubua.
Asante mkuu, kumbe mjumbe alimaanisha KUJICHUA na siyo KUJICHUBUA sasa nimeelewa shukran π
Hawako sawa.Lakini, ukiwaangalia waliojichubua,hasa wale wasio na uwezo wa kuendelea na mkologo, au wale waliozeeka, unaonaga si sawa?! Japo ni maamzi ya mtu.
Niliwahi waona Mwanza wanaojiuza, dahhh! Unajiuliza,huyu kweli nae anapataga wateja!
Hahaha sijasema anajichubua....Yaani mkeo anajichubua?
Aiseee huwa sielewi mtu unajichubua ili iweje wakati wanaonekana vibaya
Sawa sawa.Yes, ukiona anakaidi tupa hayo mauchafu ili aone upo serious.
Mambo yao waachiwe wenyewe...
Ilimradi kuna kitobo kujikoboa sio shida zako sio πMambo yao waachiwe wenyewe...