kwisha JF-Expert Member Joined Sep 9, 2021 Posts 1,793 Reaction score 5,042 Oct 2, 2022 #1 Kuna msela wangu leo kafukuzwa kazi kisa kamjambia boss wake wa kazi. Msela kachukulia poa tu ila kitu ambacho amekitowa hakika ni zaidi ya Yusufu. Eti yeye katoa rwakatala, mbaya sana. Amefukuzwa kazi.
Kuna msela wangu leo kafukuzwa kazi kisa kamjambia boss wake wa kazi. Msela kachukulia poa tu ila kitu ambacho amekitowa hakika ni zaidi ya Yusufu. Eti yeye katoa rwakatala, mbaya sana. Amefukuzwa kazi.
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,325 Reaction score 7,533 Oct 2, 2022 #2 Mtoto wa mjini huyo anakula kula hovyo vyakula vya kisasa.
Dr criminal JF-Expert Member Joined May 16, 2022 Posts 2,284 Reaction score 4,338 Oct 2, 2022 #3 Pole yake
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,027 Reaction score 102,421 Oct 2, 2022 #4 Aisee..
bwii JF-Expert Member Joined May 24, 2014 Posts 1,432 Reaction score 2,679 Oct 2, 2022 #5 kakojoe ukalale
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,942 Reaction score 131,361 Oct 2, 2022 #6 Utoto raha sana
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,210 Reaction score 37,869 Oct 3, 2022 #7 Watu wa mjini hua mnajamba?
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,479 Reaction score 40,118 Oct 3, 2022 #9 Alijamba lini huyo? Hii ni coded mjue
kaligopelelo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 2,875 Reaction score 4,162 Oct 3, 2022 #10 😃😃 JamiiForums Ina watu bhana
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,718 Reaction score 13,441 Oct 5, 2022 #11 kwisha said: Kuna msela wangu leo kafukuzwa kazi kisa kamjambia boss wake wa kazi. Msela kachukulia poa tu ila kitu ambacho amekitowa hakika ni zaidi ya Yusufu. Eti yeye katoa rwakatala, mbaya sana. Amefukuzwa kazi. Click to expand... Duuuh! Kitu rwakatala!
kwisha said: Kuna msela wangu leo kafukuzwa kazi kisa kamjambia boss wake wa kazi. Msela kachukulia poa tu ila kitu ambacho amekitowa hakika ni zaidi ya Yusufu. Eti yeye katoa rwakatala, mbaya sana. Amefukuzwa kazi. Click to expand... Duuuh! Kitu rwakatala!
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,324 Reaction score 16,592 Oct 5, 2022 #12 🤣🤣🤣🤣huyo sio msela,anaelekea kwenye ushostito