Unagari au kickMimi cku hizi cwapi lifti maana nilikuta gari yangu insta mmpaka nikaishiwa pozi
Hapo sasammmh, ushindwe kununua gar ata selfie
EtiLabda sio gari yako...... vits/passo utajuaje hii yangu kwa kuangalia selfie ndani ya gari au selfie wanapiga kwenye number plate?
Mimi cku hizi cwapi lifti maana nilikuta gari yangu insta mmpaka nikaishiwa pozi

ahahaaa vituko kweli yaani
Pakavu wanateleza
Gari now days ni kama chupi unabadili2Unagari au kick