Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,844
- 11,788
Suala si nabisha au sibishi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa una akili kubwa Sana [emoji119][emoji119][emoji119]Suala si nabisha au sibishi.
Hata ukivuta pumzi tu, ushabisha. Umekibishia kifo.
Suala ni. Unaelewa ninachoandika?
Unaweza kujadili hoja kwa hoja?
Nimeuliza maswali hapi juu.
Unaweza kuyajibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣khaMfano connection ya madem kuna jamaa ww ukitaka demu mda wote anakupa connection na utampata
Sent from my iPhone using JamiiForums
"Faida, msaada, umuhimu, maana" does not answer the question.
Cha faida, msaada, umuhimu, maana ni kipi?
Na faida kwa nani?
Ukoloni ulikuwa na faida kwa Waingereza, kimsingi haukuwa na faida kwa Watanganyika wengi.
Sasa ukoloni ulikuwa na faida au haukuwa na faida?
Ukiongelea faida bila muktadha, habari nzima inakosa maana. Ni kama vile kuongelea faida ya ukoloni bila kuongelea faida kwa mkoloni au mtwana.
Na unaposema mahusiano yawe ya faida tu, pengine kwako, siku utakapokuwa umepungukiwa, unataka msaada kutoka kwangu Kiranga.
Tuseme wewe masikini, umepungukiwa.
Unaniomba msaada nikusaidie.
Najua wewe masikini, huna namna ya kunifaidisha.
Uwezo wa kukusaidia ninao.
Nikukatalie kukusaidia, kwa sababu nikikusaidia wewe masikini, kwa kutaka kukusaidia tu uondokane na matatizo yako, mimi siwezi kufaidika?
Hili swali si la kinadharia tu.
Ni swali la kiukweli.
Kuna watu wanaomba misaada hapa tunasaidiana hata bila ya kujua kwamba tutakutana. Tunasaidiana tu kwa kanuni za ubinadamu.
Kanuni za Kiswahili za "Tenda wema wende zako, usingoje shukurani".
Sasa tuache kusaidia watu tusiowajua hata kama tuna uwezo, kwa sababu tu hatutafaidika kwa kuwasaidia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wengine wanasaidia halafu inaharibu bajeti zao vile vile wanapata stress.anaemsaidia maskini anapata manufaa si kwa kurudishiwa kile au zaidi ya kile alichotoa, no!
bali anapata furaha kwa kumsaidia asiye nacho. hivyo yeye anaihesabu furaha aliyopata kuwa ni manufaa kwake.
manufaa ni kile kinachoongezeka katika ulicho nacho. yaweza kuwa manufaa hasi pia yaweza kuwa manufaa chanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi mleta mada ameuleta ili kuprove kuwa yeye ana akili sana, na mawazo ya wengine wote watakaochangia hawana akili.Kwani huu uzi unahusiana na nini? Nisaidieni wadau.....
Mkuu...nashukuru umenijuza vizuri mno..."Faida, msaada, umuhimu, maana" does not answer the question.
Cha faida, msaada, umuhimu, maana ni kipi?
Na faida kwa nani?
Ukoloni ulikuwa na faida kwa Waingereza, kimsingi haukuwa na faida kwa Watanganyika wengi.
Sasa ukoloni ulikuwa na faida au haukuwa na faida?
Ukiongelea faida bila muktadha, habari nzima inakosa maana. Ni kama vile kuongelea faida ya ukoloni bila kuongelea faida kwa mkoloni au mtwana.
Na unaposema mahusiano yawe ya faida tu, pengine kwako, siku utakapokuwa umepungukiwa, unataka msaada kutoka kwangu Kiranga.
Tuseme wewe masikini, umepungukiwa.
Unaniomba msaada nikusaidie.
Najua wewe masikini, huna namna ya kunifaidisha.
Uwezo wa kukusaidia ninao.
Nikukatalie kukusaidia, kwa sababu nikikusaidia wewe masikini, kwa kutaka kukusaidia tu uondokane na matatizo yako, mimi siwezi kufaidika?
Hili swali si la kinadharia tu.
Ni swali la kiukweli.
Kuna watu wanaomba misaada hapa tunasaidiana hata bila ya kujua kwamba tutakutana. Tunasaidiana tu kwa kanuni za ubinadamu.
Kanuni za Kiswahili za "Tenda wema wende zako, usingoje shukurani".
Sasa tuache kusaidia watu tusiowajua hata kama tuna uwezo, kwa sababu tu hatutafaidika kwa kuwasaidia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli si yangu. Kauli ni ya mleta uzi.Mkuu...nashukuru umenijuza vizuri mno...
Sasa kwa vile aulizaye ataka kujua..basi nikuombe tu .. ... unifahamishe kwa kufafanua kuhusu hii kauli yako.... " Achana na Connection zisizo na faida"..
Hapo tu mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Badala ya kuwekeza kwenye kuongeza uwezo binafsi na juzi tunawekeza kwenye connectionsManufaa ni nini?
Hii comment ndio imenifanya niuelewe huu uzi vizuri.Kauli si yangu. Kauli ni ya mleta uzi.
Ukiona tofauti, uzi umechakachuliwa. Naona kama post ya kwanza inatokea yangu, wakati sijaanzisha uzi mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamenipa uzi usio wangu.
BenefitManufaa ni nini?
Niunganishe nayeMfano connection ya madem kuna jamaa ww ukitaka demu mda wote anakupa connection na utampata
Sent from my iPhone using JamiiForums