Acha uzinzi, unajimaliza wewe mwenyewe

Acha uzinzi, unajimaliza wewe mwenyewe

Kumekucha!
Baada ya kuwapopoa wadada ombaomba wanaojificha kwenye kichaka cha mapenzi sasa nawarudia vijana wazinzi (both men and women).
Uzinzi haujawahi kuleta tija kwa mtu yeyote tangu Dunia ianze.
Uzinzi ni dhambi, hautoshelezi.
Ni tendo lisilokata kiu.
Kweli wewe ni kiboko ya Jiwe
 
Kumekucha!
Baada ya kuwapopoa wadada ombaomba wanaojificha kwenye kichaka cha mapenzi sasa nawarudia vijana wazinzi (both men and women).
Uzinzi haujawahi kuleta tija kwa mtu yeyote tangu Dunia ianze.
Uzinzi ni dhambi, hautoshelezi.
Ni tendo lisilokata kiu.
Auni mjumbe wa mashariki🤔
 
Uzinzi? Mkizungumzia uzinzi muwe mnaleta kwanza maana yake ili mueleweke
 
Kumekucha!

Baada ya kuwapopoa wanawake ombaomba wanaojificha kwenye kichaka cha mapenzi sasa nawarudia vijana wazinzi (both men and women).

Uzinzi haujawahi kuleta tija kwa mtu yeyote tangu Dunia ianze. Uzinzi ni dhambi, hautoshelezi.

Ni tendo lisilokata kiu.
We mdomo umekuletea nn tangu umeanza kuchamba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom