Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,419 Reaction score 38,056 Mar 8, 2024 #21 Dhambi kwa mujibu wa nani? Yaani watu wazima wawili mkiwa na akili timamu mkubaliane kuunganisha vikojoleo, wewe uje useme eti dhambi!
Dhambi kwa mujibu wa nani? Yaani watu wazima wawili mkiwa na akili timamu mkubaliane kuunganisha vikojoleo, wewe uje useme eti dhambi!
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,356 Reaction score 83,329 Mar 8, 2024 #22 Umeongea vizuri. Ila je MTU atumie njia gani kuwa mbali na uzinzi? Maana tatizo la binadamu sio kwamba huwa hawana taarifa Ila huwa hawazielewi taarifa walizonazo. Ebu tazama boksi la sigara limeandikwaje? Kuwa ni hatari inaua lakini people still smoking So the issue is not about informations because information is already their on our Finger tip ,but the issue is how we understand the informations.
Umeongea vizuri. Ila je MTU atumie njia gani kuwa mbali na uzinzi? Maana tatizo la binadamu sio kwamba huwa hawana taarifa Ila huwa hawazielewi taarifa walizonazo. Ebu tazama boksi la sigara limeandikwaje? Kuwa ni hatari inaua lakini people still smoking So the issue is not about informations because information is already their on our Finger tip ,but the issue is how we understand the informations.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 48,296 Reaction score 39,120 Mar 8, 2024 #23 OKW BOBAN SUNZU said: Hivi ukiwa na mademu wangapi ndio unakuwa mzinzi? Click to expand... mzinzi au wazinzi ni wale walio kwenye ndoa wanaeofanya ngono nje ya ndoa zao, na muasherati au waasherati ni wafanya ngono kabla ya ndoa 🐒
OKW BOBAN SUNZU said: Hivi ukiwa na mademu wangapi ndio unakuwa mzinzi? Click to expand... mzinzi au wazinzi ni wale walio kwenye ndoa wanaeofanya ngono nje ya ndoa zao, na muasherati au waasherati ni wafanya ngono kabla ya ndoa 🐒
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,396 Reaction score 195,245 Mar 8, 2024 #24 Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: Mahondaw