Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Vitabu vyote vitakatifu vinatuasa utahiriwa, kwa wakristo baada ya siku 9 mtoto kuzaliwa, sasa wewe sijui, una dini gani mkuu, uchafu huo
Ukkoloni mamboleo hadi lini?
Kabla ya kuletewa vitabu vitakatifu Tanzania ilikuwepo tu; soma vizuri historia ndo utajua dini zililetwa nchini mwetu kwa sababu gani.
Mwanamalunde hakutahiriwa,
Mukama Lutinwa hakutahiriwa,
Kaihula Nkuba hakutahiriwa,
Mkwawa hakutahiriwa
Iweje ni niwe mfuasi wa mataifa? Naenzi mila na desturi za babu zangu.