Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
POKEENI ZAWADI HII YA PASAKA KWENU
View attachment 88337
Haya mayai ya chokoleti nilikuwa nayatamani, ila leo nimekula nikakuta kumbe ndani shimo... wizi mtupu...
POKEENI ZAWADI HII YA PASAKA KWENU
View attachment 88337
alafu basi tuwaache watoto wenyewe waamue wakikua. Tunawakata wakiwa wadogo without their will. I wont circumcise my sons
uongo, halafu wewe itakua hujatahiriwa, umajuaje
Dada umeanza kwa ukali sana na imekuwa hivo hadi mwisho, kumbuka unashauri tu na kitu unashauri ni sehemu ya maishaya watu kwa miaka mingi(utamaduni). Watu wanabadirika lakini jua inachukua muda kwa sababu c wote wana access ya kujua hiyo elimu uliyo nayo wewe.
unasema maranyingi MILA ZIMEKUWA POTOFU je zimekuwa potofu kuanzia lini hadi lini? tunatahiri kwa sababu ni mila potofu ama kwa sababu ya ya vitu fulani fulani ambavyo tunadhani tukitahiri tunaweza kujiprotect?
Je kuzaliwa na GOMVI ni mila ama?
Je ni kwanini tunazaliwa na MAGOMVI?
Nimeishasema - siwezi kumsahihisha Muumba wangu, alikuwa na maana yake kuficha kichwa cha dude langu,
tushukuru shule za tanzania yetu hii hazina utamaduni wa kuoga shuleni baada ya michezo. Otherwise our sons wangekuwa under so much pressure kwasababu ya kuwa tofauti. Naona kama itachukua muda mrefu sana watu kukubali ukweli wa mamboKwa kulijua hilo hata my son sijamfanyia upuuzi huo.
kwanza waafrika wanagpi mnatahiri siku ya 9? Mpaka hapo wenyewe mmenda kinyume. Americans wanaotahiri na Wayahudi ndo wanaongoza kwa kukata vitoto vichanga. Unajua wanafanyiwaga bila ganzi??? Unajua kuna accidents nyingi zinatokea ikiwemo kumkata mtoto kitu yake? Kukata nyama nyingi mno kisha kumletea matatizo baadae?Ushawahi kujiuliza kwanini mungu aamuru hivyo? Tena miaka hiyo aliyotoa hiyo amri, kulikuwa na ganzi kweli? Baadae Yesu alivyokuja, kutahiri kwa wakristo kukawa ni uamuzi si sheria. Kisa cha kubadilisha mawazo? Au ndo vilio vya watoto vilimfikia? Najua utasema i should not question your God. Mtaendelea kuumiza vitoto kwasababu za imani zisizo za kweli.Vitabu vyote vitakatifu vinatuasa utahiriwa, kwa wakristo baada ya siku 9 mtoto kuzaliwa, sasa wewe sijui, una dini gani mkuu, uchafu huo
mmmhhhhHuyo mtu aliyeweka uzi huu inaonekana amekutana na kitu original ambacho hakijachakachuliwa na manesi au madaktari! Acha umalaya, tulia na wako maana umalaya wako ndo umekufanaya ukutane na govi.
unajua wanawake nao wana Smegma? Inatengenezwa kwenye lips za ndani na chini ya kisimi. NAFIKIRI waliokuwa na tradition za kutahiri wanawake, wanawake wao wengi walikuwa na smegma nyingi! Na tofauti na maumbile ya mwanaume, ni ngumu zaidi kusafisha kwa wanawake. BASI TURUDISHE FEMALE CIRCUMCISION KAMA CIRCUMCISION NI USAFINinahisi chembechembe za upotoshaji katika maandishi yako...Hebu fafanua kwa manufaa ya wengine, tohara kwa mwanamke inapelekea vipi usafi?
kwa hiyo Tutor B wewe ni Govinda???? Loh! mamamaaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeeee!! mimi ogopa wewe kuanzia leo, na wala thichezi na wewe kumbe uko hivyo.Umepatia; na ndo maana yeyote nilowahi kumlamba akiniona anataka kukumbushia na wala hasemi kinachomfanya arudi tena. Anasuga eti "we mtam sana"
Sinai kwa nini umemuandikia kwa maneno ya ukali mleta mada, mm sijaona alipokosea, kuandika kitu si lazima awe malaya au amekutana nalo, ila hata kwa kusikia tu, jana Rais wetu alikuwa anatoa ushauri kwa wanaume wakatahirie maana inaongeza maambukizi ya Ukimwi kwa kiasi kikubwa, je naye ni Malaya kakutana na Govinda.Huyo mtu aliyeweka uzi huu inaonekana amekutana na kitu original ambacho hakijachakachuliwa na manesi au madaktari! Acha umalaya, tulia na wako maana umalaya wako ndo umekufanaya ukutane na govi.
tupo tunayoyataka hayo magovi. LOL. Na angalau watu wazima, hata 'watoto wakubwa', kama miaka saba, wanpewa ganzi. Hao vichanga vya siku 9 no ganzi no what. UNYAMA KABISAHivi jamani ukiwa mtu mzima na govi lenyewe gumu likiondolewa ni kwa ganzi au ni vipi? Maana ni hatari hapo. Ila sana madume hebu tuondoe ile foreskin kina dada zetu hawazitaki kabisa. Da kitu kumenya ndizi ndani ya ganda!!! Hivi ukimenya ndomu inaingia vizuri au inaumiza na ndiyo kupasuka? Nashukuru mila hizo kwetu hazipo!!! Age group wote enzi zile ukimaliza darasa la saba unasubiri matokeo mnawekwa ndani.
si ndo hapo chacha. Eti inapunguza maambukizi. Wanatafuta ticketTatizo tulilonalo kama taifa kwasasa ni ukosefu wa mira na desturi za taifa. Na chonzo cha ugomvi mwingi duniani ni pale mtu mmoja anapoona mila zake ni "the mila" neno mila potofu ni potofu lenyewe. Uzinzi ndio tatizo la msingi, na wala sio kutahili au kutotahiliwa. Uzinzi bila kutumia condom ni tatizo la msingi. Sasa badala ya kukemea ngono nzembe, mnakemea wasiotahili. Kwanza ingekuwa amri yangu ningesema nivae ngozi langu ili nione inakuwaje. Ni mtazamo tu
kwa hiyo Tutor B wewe ni Govinda???? Loh! mamamaaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeeee!! mimi ogopa wewe kuanzia leo, na wala thichezi na wewe kumbe uko hivyo.