Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
hayana ukweli wowote maana hata robo ya popolation hawajapimwa
Hizo ndo information wanazolishwa wabongo zisizokuwa na reference.
hayana ukweli wowote maana hata robo ya popolation hawajapimwa
kwa kila jamii lazima iwe na desturi, mila na utamaduni wake. Kila desturi, mila na utamaduni ni bora kwa mila husika, na utamadumi huohuo, ukiupeleka katika jamii nyingine, unaweza usiwe bora. Kutokana na mwingiliano wa sasa kijamii, kumetokea mvutano wa tabia, mila, desturi na tamaduni. Hata hivyo, kila jamii hujitahidi kulinda mila zake ili zitawale, wakati jamii nyingine ikijaribu kudhoofisha mila za jamii kinzani. Jamii itakayoshinda, ndiyo hutawala.
Ukija kwenye mada, sisi huku kwetu, wanaume huwa hawatahiri. Believe it or not, ukipata mwanaume ambaye hakutahiriwa, hutatamani mwanaume kilema (aliyepunguzwa viungo vya mwili). Hii ni kwa sababu, kale ka kofia, hufanya kale ka kichwa kaendelee kuwa sensitive kila kanapoguswa, na pale ndipo ngoma inaponoga. Swala la magonjwa, ni katika zile mila ambazo wanawake kumi huchangia mme mmoja, tabia ambayo huku kwetu ni mwiko. Kwetu hatuna tabia za kuchangia mswaki, wala tabia za mafiga matatu hatuna.
Kwa wale ambao mama hufunda mwana kwa kumwelekeza kuwa figa moja haliinjiki chungu, na vijana husifiwa kwa wingi wa wanawake anaogegeda nje ya ndoa, hakika kutahiri ni lazima ili kupunguza risk za magonjwa, ingawa takwimu vilevile zinaonesha kuwa kule wanakotahiri sana, ndiko kwenye maambukizo mengi ya magonjwa.
Dawa ya dhambi ni damu ya yesu na siyo tohara. Naomba utamaduni wenu wa kuwafanya wanaume kuwa vilema kwa kuwapunguzia viungo vya mwili, uishie huko kwenu, na huku kwetu tuendelee kuenzi mila na utamaduni wetu mzuri wa kuwafanya wanaume wetu waishi kama mungu alivyowaumba. Mungu atujalie tusiingiliwe na utamaduni wa mafiga matatu, wala tusije kuchangia miswaki. Kila mtu awe na mswaki wake, na kila chungu kiinjikwe kwa figa moja.
"wale wa utamaduni usiokubali ukilema, tujitetee"
i'm against male circumcision.
Dada umeanza kwa ukali sana na imekuwa hivo hadi mwisho, kumbuka unashauri tu na kitu unashauri ni sehemu ya maishaya watu kwa miaka mingi(utamaduni). Watu wanabadirika lakini jua inachukua muda kwa sababu c wote wana access ya kujua hiyo elimu uliyo nayo wewe.
unasema maranyingi MILA ZIMEKUWA POTOFU je zimekuwa potofu kuanzia lini hadi lini? tunatahiri kwa sababu ni mila potofu ama kwa sababu ya ya vitu fulani fulani ambavyo tunadhani tukitahiri tunaweza kujiprotect?
Je kuzaliwa na GOMVI ni mila ama?
Je ni kwanini tunazaliwa na MAGOMVI?
nakubaliana na wewe kwa asilimia mia kuhusu usafi kwa mwanaume ila kumbuka hata mwanamke aliyetahiriwa ni msafi sana huwezi linganisha na asiyetahiri, Unajua misri wanawake waliotahiri ni zaidi ya 90% na kwao huo ni usafi
Naamini hakuna jambo lenye advantage peke yake bila diasadvantage. Mwenye uelewa atuweke wazi kuhusu disadvantages za circumcission + Advantages za kutotahiri
Tatizo la wasomi wa siku hizi na hasa WATANZANIA ni kupokea mambo pasipo kufanya utafiti wa kina kuhusu jambo hilo.
Ninahisi chembechembe za upotoshaji katika maandishi yako...
Hebu fafanua kwa manufaa ya wengine, tohara kwa mwanamke inapelekea vipi usafi?
Advantage za kutotahiri: ule mkunjo wa prepuse(govi) unasugua vizuri kwenye G-SPOT.Kwa wale akina dada wenye shida ya kuingia kileleni, jaribuni kupata msaada kupitia hawa vijana wetu wa kanda ya ziwa.
kama ni utafiti ninao naweza hata toa hapa kwani kisomo changu nimefanya research siwezi toa post isiyokuwa na kichwa wala mkia hapa wewe naona unataka kunizingua nitoe huo utafiti nilioufanya hapa ili uone yaelekea hata wewe hujatahiriwa
Advantage za kutotahiri: ule mkunjo wa prepuse(govi) unasugua vizuri kwenye G-SPOT.Kwa wale akina dada wenye shida ya kuingia kileleni, jaribuni kupata msaada kupitia hawa vijana wetu wa kanda ya ziwa.
naomba nisaidie kumtafuta mmojawapo ili nione
kama ni utafiti ninao naweza hata toa hapa kwani kisomo changu nimefanya research siwezi toa post isiyokuwa na kichwa wala mkia hapa wewe naona unataka kunizingua nitoe huo utafiti nilioufanya hapa ili uone yaelekea hata wewe hujatahiriwa
Watu ambao inaaminika ndiyo researchers wazuri and probably ndiyo wenye takwimu zilizoonyeshwa kwenye uzi (Wazungu), asilimia kubwa wanamagovi. Ina maana hayo madhara wao hawayatambui?
because naona ni mutilation tu. Hamna haja ya circumcision. Kama ni smegma unayoita uchafu, hata waliokuwa circumcised wanayo, na mbona inaoshwa tu. Kwanza smegma is a lubricant, so labda ni uchafu wakati haitumimki but ikifika wakati wa faragha maybe u would apreciate it.Kuna watu wanasema uncircumcised men hawaenjoy kama circumcised men. Now thats just a straight up lie because the govi ina thousands of nerves, so kwa mantiki hiyo its obious nani anaenjoy zaidi. The only problem ni kwa wanaume wachache amabo wanakuwa na condition inaitwa phimosis ambapo magovi yao hayawezi kurudi nyuma na kusababisha maumivu wakati wa tendo. Then hapo sasa ni a medical condition inabidi ikatwe. Lakini si wote ambao wana phimosis wanaumia so sio lazima.Na habari ya kupunguza maambukizi si kweli. Zilifanyika research tatu Africa ambazo hazikumalizwa na hazikufanywa kwa watu wengi kiasi cha kutoa conclusion hiyo. Kwanza hiyo conclusion imewapa circumcised men confidence ya kutopata UKIMWI so wanaenda pekupeku. Ohoo wameula wa chuya, because maambukizi hayategemei kama uko circumcised au uncircumcised. Kuna watu wanang'ang'ani 'inapunguza'. We cheza na maisha, kama huyataki tupe si wengine.Wadhungu saa hizi wanahangaika kurudisha foreskin zao, especialy kwa wenye umri ulioenda. Wamejua thamani yake. Sasa hadi ije ikubalike huku kwetu nafikiri sitokuwepo kushuhudia.Na habari ya kupendezesha mtarimbo, tutazoea tu. Lol. Unaona haipendezi coz ushazoea zilizokatwa..tukistopisha hii proces ya circumcison itakuwa normal and PERFECT and NATURAL. 🙂Kwanini uko against?
Kama inavyosemekana kwamba mwanamke ambaye hajatahiriwa, hisia zake kimapenzi ziko juu; hivyo hivyo hata mwanamume ambaye hajatahiriwa wanawake wanafagilia game lake kinoma.