donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hatadi mkuuElimu elimu elimu
Ndio mkuuMasomo na buzuki la koo...
Asaante mkuuMkuu, naona uko na BALIMI pembeni! Mtihani mwema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bibi harusi anapambwa siku ya harusiNg'ombe hazeeki siku ya mnada [emoji23][emoji23][emoji23]
Form six wamefika wapi now when are they finishing!Elimu elimu elimu
Hahaha...mkuu ni mtihani gani unapiga[emoji23] [emoji23] [emoji23] bibi harusi anapambwa siku ya harusi
Quantum mechanics mkuuHahaha...mkuu ni mtihani gani unapiga
Nashkuru mkuu pamoja sanahaya piga kazi mkuu maana kazi na dawa
kumbuka wengine wanakimbia office huku
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kawaida tu mkuu wanguMkuu hiyo shule yako lazima ni ya kiwango cha juu. Usomaji wa aina hiyo mi highlighter mara nyingi ni kwa wenzetu shule zilikoanzia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kawaida tu mkuu wangu
Daah aisee best wishes mkuu
Hahah tatizo,ngumu mkuu unaweza amka na hangover kwa pepaKawaida wapi kiongozi? Nimepepesa macho hapo mezani sijaona Balimi wala Bapa....mambo laini tu!
Thanks mkuuDaah aisee best wishes mkuu