Acha leo niwasifie mabinti wa Kigoma kabla hawajaja Dar

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
Habari za humu poleni na majukumu

Kabla sijaoa nilibahatika kuwa na mahusiano tofauti na mabinti wa kigoma kwa nyakati tofauti

Wa kwanza nilikutana naye dar gongo la mboto alikuwa mtu wa kigoma mgambo
Alikuwa na heshima sana

Wa pili hao wengine zaidi ya wa nne nilikutana nao nikiwa huko huko kigoma

Kusema ukweli wale mabinti nilikuwa nao kimahusiano wote kwa wakati mmoja japo sikuwahi kufanya nao chochote lakini walikuwa na upendo wa tofauti kidogo pia heshima na hii mada inazugumzia heshima

Kusema ukweli kila mmoja niliahidi kumuoa na wote walikubali watatu walikuwa waislmu na mmoja mkristo

Wale watatu wote walikuwa hawana shida kuhusu dini walikuwa tayari kwenda kanisani na walijuana kwamba nawapenda,

Nilichokipenda kwao sio sura au rangi naaumbo hapana ilikuwa ni hesha walionionyesha

nilifanikiwa kufika nyumbani kwa kila mmoja kwa nyakati tofauti kawaida nikifika huwa naomba maji ya kunywa

Kila nilipoletewa maji wakati nikiwa na kunywa walikuwa eananipigia magoti hata kama gotioja tu limegusa chini mpaka nimalize ndo wanyanyuke

Sehemu nilipokuwa naishi kulikuwa na changamoto ya maji ya kunywa hivo muda mwingine tulitumia maji machafu ya mto ruiche

Basi kila walipokuja kufanya kazi ya kukata au kusaga mafuta kila niliye muagiza aniletee maji aliniletea kwa nyakati tofauti

Nikichukia Basi anatwa mdogo mtu ananiletea kikaratasi cha kuomba msaha na maneno mazuri au yeye mwenyewe ananifuata na kuniomba msamaha pale aliponikosea

Na Mimi nasemehemaisha yanaendelea, kila mmoja alitamani kupanda treni ya kuelekea singida na Mimi lakini mungu naye ana mipango yake

Basi siku zilipo karibia za kuondoka ndo ikawa mbaya hadi kwangu mpaka nilisogeza siku tatu mbele kwa ajili ya mmoja alinimbia nisiondoke nsubiri Kuna kitu aniambie

Kitu chenyewe Sasa akanipo tu zawadi ya kigaloni cha mafuta ya mawese

Nikiwa kwenye treni mida ya saa 2 usiku baadhi yao wenye simu walinitumia sms nzuri za kunitakia safari njema na nisiwasahau

Basi si mnajua mapenzi ya mbali yalivyo, kidogo kidogo nikaanza kuwapotezea mmoja mmoja baada ya kupitamwaka hivi Kuna mmoja alinitafuta na kuniomba ruhusa aolewe

Nikamwambia tu aolewe maana maisha yangu yalikuwa bado kabisa

Na kweli wote wameolewa kasoro mmoja tu ndo sina taarifa zake

Hongereni mabinti wa kigoma ambao hamjafanikiwa kufika Dar

Nawasilisha.
 
Hawatilii mkazo shule
Wanajua kuzururaaa,wanapekua kama kuku usiombe waje dar
Wanastahimili na wana roho ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndiyo sifa ya muhimu kwa mwanamke wa Kiha! Goti na Heshima.
Kingine katika ndoa ambacho wanacho ni kutosaliti ndoa,ni wachache sana ambao wanaweza kusaliti, lakini hilo siyo utamaduni wao, ni wavumilivu sana katika ndoa.Mwanaume unaweza kumsaliti lakini akavumilia.
Kasoro nyingine ukizikuta kwao, wanafundishika!
 
Habari za humu poleni na majukumu

Kabla sijaoa nilibahatika kuwa na mahusiano tofauti na mabinti wa kigoma kwa nyakati tofauti

Wa kwanza nilikutana naye dar gongo la mboto alikuwa mtu wa kigoma mgambo
Alikuwa na heshima sana

Wa pili hao wengine zaidi ya wa nne nilikutana nao nikiwa huko huko kigoma

Kusema ukweli wale mabinti nilikuwa nao kimahusiano wote kwa wakati mmoja japo sikuwahi kufanya nao chochote lakini walikuwa na upendo wa tofauti kidogo pia heshima na hii mada inazugumzia heshima

Kusema ukweli kila mmoja niliahidi kumuoa na wote walikubali watatu walikuwa waislmu na mmoja mkristo

Wale watatu wote walikuwa hawana shida kuhusu dini walikuwa tayari kwenda kanisani na walijuana kwamba nawapenda,

Nilichokipenda kwao sio sura au rangi naaumbo hapana ilikuwa ni hesha walionionyesha

nilifanikiwa kufika nyumbani kwa kila mmoja kwa nyakati tofauti kawaida nikifika huwa naomba maji ya kunywa

Kila nilipoletewa maji wakati nikiwa na kunywa walikuwa eananipigia magoti hata kama gotioja tu limegusa chini mpaka nimalize ndo wanyanyuke

Sehemu nilipokuwa naishi kulikuwa na changamoto ya maji ya kunywa hivo muda mwingine tulitumia maji machafu ya mto ruiche

Basi kila walipokuja kufanya kazi ya kukata au kusaga mafuta kila niliye muagiza aniletee maji aliniletea kwa nyakati tofauti

Nikichukia Basi anatwa mdogo mtu ananiletea kikaratasi cha kuomba msaha na maneno mazuri au yeye mwenyewe ananifuata na kuniomba msamaha pale aliponikosea

Na Mimi nasemehemaisha yanaendelea, kila mmoja alitamani kupanda treni ya kuelekea singida na Mimi lakini mungu naye ana mipango yake

Basi siku zilipo karibia za kuondoka ndo ikawa mbaya hadi kwangu mpaka nilisogeza siku tatu mbele kwa ajili ya mmoja alinimbia nisiondoke nsubiri Kuna kitu aniambie

Kitu chenyewe Sasa akanipo tu zawadi ya kigaloni cha mafuta ya mawese

Nikiwa kwenye treni mida ya saa 2 usiku baadhi yao wenye simu walinitumia sms nzuri za kunitakia safari njema na nisiwasahau

Basi si mnajua mapenzi ya mbali yalivyo, kidogo kidogo nikaanza kuwapotezea mmoja mmoja baada ya kupitamwaka hivi Kuna mmoja alinitafuta na kuniomba ruhusa aolewe

Nikamwambia tu aolewe maana maisha yangu yalikuwa bado kabisa

Na kweli wote wameolewa kasoro mmoja tu ndo sina taarifa zake

Hongereni mabinti wa kigoma ambao hamjafanikiwa kufika Dar

Nawasilisha.
Sasa si ungeoa mmojawapo, unajitambulishaje kwao kuwa unataka kuwaoa, halafu ni watu wanne tofauti, huoni ni ukatili huo?
 
Back
Top Bottom