Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,178
- 87,300
Umeiona wapi?Mikono soft ivyo, isugue mbao?
Umeiona wapi?Mikono soft ivyo, isugue mbao?
Duh nimewashindwa!🙌Muhuimu kuzingatia vigezo na masharti
Si hiyo hapo naiona, unajikuna nayo usoniUmeiona wapi?
Tunazungumzia mikono jamani 😅Nimejaribu kuvuta hisia, nimejikuta natetemeka mwili mzima, ebu geuka nyuma nikuone.
Tutajaribu siku moja, nikipata kiinua mgongo changuTunazungumzia mikono jamani 😅
Kazi ya mikono ni kutoa burudani
Baada ya Kazi
Hizo pesa zinakuwa zimetoka wapi?
Muulize drone drake na mbaga jrKazi ya mikono ni kulima, kufuga, kujenga, kutengeneza vitu n.k
We mikono yako, unaitumia kwa kazi zipi?
Mikononi...Hizo pesa zinakuwa zimetoka wapi?
kusugua misiviKazi ya mikono ni kulima, kufuga, kujenga, kutengeneza vitu n.k
We mikono yako, unaitumia kwa kazi zipi?
Kuyashika Makebo ya mkeo nikiwa nampiga na mwiko akiniomba niweze kuukwangua ugali kwenye safuria yake, samahani sana kwa jibu gumu nililokupaWe mikono yako, unaitumia kwa kazi zipi?
Inatakiwa ikang'oe visiki huko maporinikusugua misivi
itatoka sugu na kusbabisha michubuko ktk MisiviInatakiwa ikang'oe visiki huko maporini