Huku nyamaView attachment 219896 huku ubwabwaView attachment 219898
Huku nyamaView attachment 219896 huku ubwabwaView attachment 219898
Na mwenye miguvu ya kushusha hayo mawe na mwenye funguo ni Baba Baunsa mwenyewe! Huna jinsi inabidi umsubiri arudi ili sherehe ianze....akirudi amependeza na kama funguo kasahau nyumbandogo ndio basi tena....vitu vinachacha! LoH..