Accouting packages please

SYENDEKE

Senior Member
Jul 18, 2011
169
26
wandugu naomba mwenye accounting packages yeyote naomba anisaidee hapa please na shida nayo kam huna cha kunisaidia naomba upite2 hata kama kuna site naweza kudownload unaweza nipa coz nimezunguka sana bila msaada
 
nazozijua kuna tally na quick books i recommand tally cnc imeshika sana bongo but kwenye international level quick books rock
 
nazozijua kuna tally na quick books i recommand tally cnc imeshika sana bongo but kwenye international level quick books rock

mkuu vipi naweza pata package of anyone please ndugu hata kama quick book au tally coz kwenye online nyingi nizakununua
 
mkuu vipi naweza pata package of anyone please ndugu hata kama quick book au tally coz kwenye online nyingi nizakununua

ndio ufanye sasa ukanunue kama za bure zimeshindikana kaka, si unajua hata simba akizidiwa huwa anakula nyasi????
 
Syndeke
hata mimi nina shida kama yako. Zile kampuni zinazouza fiscal devices za TRA, pia wanauza hizo accounting packages. Tatizo ni bei!. Mimi wameniambia wanauza kwa US $ 1,000!. Kwa vile nimenunua EFD yao basi watanifanyia US $ 800!. Kwa kikampuni changu kidogo, nimeona that is too much, bora niendelee tuu na haya ma ledger!. Ukifanikiwa, nijulishe!.
 
mimi pia ninashida na manual book ya wings accounting packag kama mtu atakua na msaada nitashukulu
 
mkuu ukishindwa hio ya paulss nenda kwenye torrent utapata, kama huwezi ni-pm nikupatie
 
Back
Top Bottom