Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

Acha kufanya watu ni majuha halafu unadhani hamuonekani?
kama mu wasafi kilio cha nini?
Ruzuku haikuwatosha kujenga chama?
Nana anawafanya majuha? Hamna mzungu anachangia pesa za mdafi hela ndogo ndogo hizooo

Kama mlikua na doupt, why msifungue kesi mahakamani?
 
Kila hila wanayo fanya ni kumpiga chura teke tu. Wanajisumbua tu. Michango itachangwa hazina kitu gani 😆😆😆. Wangekua na akili tu wangekubali reforms zifanyike tupate katiba mpya. Kosa wanalofanya hawa watawala wa CCM ni kidhani dunia ya leo ni ile ile iliyo kuwa ina itikia tu kauli za Nyerere. Tupo karne ya 21 na tupo na kizazi kipya na mitazamo mipya. Fungia tone tone uone nyomi la michango tena na tena yaani. Solution ni ku accept BO REFORMS NO ELECTION. Na reforms sio kwa ajili ya chadema wala Cuf wala chama chochote bali ni kuweka usawa na uwazi katika kutambua maamuzi ya watanzania [wapiga kura]
Binafi sijachangia tone tone ila wakianza kufungia account zao nitaanza kuchanga
 
Wewe ni kima tuseme na zile goli la mama ninutakatishaji..? Unajua maana ya utakatishaji kweli..?
Hembu tufafanulie maana ya utakatishaji wa fedha..?
 
Kwamba Mbowe ndio aliidhinisha Covid 19 kwa katiba ipi? Mbowe ana mamlaka ya kutoa watu jela ili wawe wabunge? na Kwamba Chadema ilitimua Covid 19 kwa geresha huo ni uongo mtakatifu, kingine ni hiki, Lissu kukamatwa haukua utabiri hiyo ni hulka ya ccm na polisi wa Tanzania wanaotumikishwa.

Unaweza kuandika uzi bila porojo na ukaeleweka tu.

Kesho utatuambia waliomshambulia Kitima hawatashitakiwa huo nao utaita umeutoa kwa mtu mzito wakati Nchi nzima inajua?
 
Unafuarahia tanganyika kuliwa na kina abduli na wajomba zake waarabu kwa deals chafu na za hovyo za kuiibia fedha nchi na wewe mtanganyika una unga mkono na kurukaruka
zingatia maelezo yangu ya msingi bila mihemko gentleman 🐒
 
Nyie ndo mnafanya CCM ionekane tuna watu wajinga kumbe CCM Kuna watu smart sana wewe kwa akili yako Uoni kwamba wakifungia Account wanazidi kuipa Chadema Airtime kwa wananchi nyie ndo mnamshauri mama vibaya hata kumkamata Lissu ilikua ni kosa na mtego Lissu wamemuongezea ushawishi na umaarufu wa bure
 
Kosea Kuoa Lakini Siyo Kuchagua

CCM Imekataliwa Hadharani Na Wote Tunaona
Wananchi Ndiyo Waamuzi
No Reforms, No Election


Chama Dollar Kimeshikwa Pabaya Sasa
 
Nimecheka sana wanawapiga mapigo ya Musa na Firauni
 
Yaani sheria zisifuatwe kwa kuogopa airtime?wewe ni mshauri wa lissu?
 
Huwa natatizika sana na hawa kijani, wapanga mipango yao sijui huwa wanafikiria kitu gani
 

Sasa huku unakusemeaje ili mambo yawe sawa.
 
Nchi yetu inataka kupotoka. Segmental marginalization kama hizi ndo zilizalisha makundi kama Boko Haram na Alshabab. Kugawa watu kuwa hawa wanastahili keki ya Taifa na hawa siyo wakati wote ni Taifa moja ni hatari mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…