cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 87,180
- 140,120
kwahiyo FBI ndio mapoliccm ambao hata hawajui kwa nini Hamza aliwapiga marisasi
kwahiyo FBI ndio mapoliccm ambao hata hawajui kwa nini Hamza aliwapiga marisasi
Ndyo kavuna pesa mnooo bhana, tena zangu ndo kala sana woiiiiiiih.Lakini naskia amevuna pesa ndegu sanaaaa. Yani naskia Ile video watu walilipia hizo buku Kwa fujo, kapata zaidi ya 100m, Kwa nilivyoskia
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
khaaaahkuna siku nimelipia app yake package ya mwezi mmoja nikifikiri anapost mambo mazito kama ya kipindi kile JIWE limeingia ikulu. Nilichokutana nacho kule ndani moyo wangu ulisononeka sana kiasi kwamba hata nikiona notification kua amepost kitu nilikua najawa na hasira sana, after two weeks nili uninstall app na sitarudia tena kusuport kazi yake ya kuumiza hisia za watu.
Haswaaaaaah yaaan.Imagine watu bwana wanajua kupretend sana, hapo kila.muda wanachungulia kqwnye page yake kutaka kujua kapost nini leo, app pia wanayo ila wakijifungia peke yao wanasoma kila kitu wakija humu habari zote za kwenye App wanazijua ila wanajifanya eti App hawana
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
mkuu package ya mwezi ni buku tuu sio hela kubwaUlikutana na nini kwani? Kumbe kuna subscribers wa mpaka mwezi mange anajua kucheza na akili za Watanzania
Njoo Tanga kama utakatiza bilabilaLakini ujue kama hujui mimi ni basha mzuri sanaa tena fundi mnoo nimebobea kwa walopofu nawapa vidonge havii nikuambie tu jina chokodari muulize mkenya yoyote atakupa jibu, au google kama utabahatika kupata maana yake
Ndio mtazamo wako hafifu!I think waliomtumia wanatafuta namna ya kum dispose. Wanamjua siku moja atawavuruga!
Seems no one is trusting her, good weapon against your enemies but unreliable.
Kwao ni fursa ya kumfunga speed governer ili awe controllable. Lakini kitu kimoja kibaya zaidi "she is smart enough"....
Wew kilaza kweli yani ukute ata ni mzazi wa mtoto dah majanga kwa mwanao ..yani ulipe bitcoins sababu ya uyo mbwaajike mange ?? Eeeeh ??nilijua tu watafanya hivyo walivyofanya,tatizo mitanzania mingi haijui kutumia cryptocurrencies kama btc angeweka option ya btc akaendeleza kazi yake ya uchambaji
kikivaa na vile vitaiti kinakuaga kama ki mjusi
Huyu mange nae ni wa kupewa pole! Umepotea njia! Hivi ndivyo anavyostahili huyu ili anyoooke aache kuchafua watu na kuwaharibia watu maisha.Pole sana Mange. Hii dunia kuna watu wanajiona wao ndio binaadamu!