Niliingiza namba ya mtu ambae amepata mkopo (list ya jana), cha ajabu nae kaambiwa hivyo hivyo-kaandikiwa Not secured loan, na kwamba haja omba.mimi nimeandikiwa not applied higher education student loan board 2016/17 academic year kwenye list ya waliokosea simo sijajua tatizo nini
Walisema wataanza na wenye uhitaji. . Na hii batch ya Kwanza wengi night freshers from form sixMimi yangu inaandika kuwa sijawa allocated for the first batch
Batch uwa zinachelewa kutoka, zinaweza fika ata zaidi ya tano na zikachukua hadi November - December ili ziishe, zikiisha wanafungua appeal ya mkopo Kwa waliokosa, Cha msingi fight uanze chuo kwa namna yako wewe if possible, all da best, on the same boatsasa iyo second batch wanaachia baada ya cku ngap?
Maana bila mkopo chuo kimekua kigum kuripot
Halafu majina mengi niya wanafunzi wa udsm nahisi inaweza kuwa leo leo
Tcu wametoa majina, nit wakiwamokwa wale wa nit vp maana ata chuo hakijatoa majina official tumeyapata juu juu tu na tcu hawajatoa, sijui wa nit account zenu za heslb zinasomekaje.