Safi kabisa!! Nampongeza aliyeanzisha kampeni ya kum report Instagram. Taifa letu linakumbwa na watu wenye matatizo ya akili.Huwezi ukawa na akili timamu ukafanya ujinga aliokuwa anaufanya huyo kimini!
Karma imefanya yake. Alimdhihaki na kumtukana sana Magufuli, ametesa watu kwa aibu za kijinga, amedhalilisha Mama zetu na baba zetu. Ningekuwa hakimu ningemfunga kifungo cha kunyongwa hadi kufa! She is more than an embicile. Very dumbass being in this world.
Lakini bado kuna wenzetu walifurahia alivyokuwa anawadhalilisha watu. Na bado anawaungwaji mkono wengi ambao naamini wameumizwa na kufungwa kwa akaunti yake. Waendelee kuumia wapumbavu wenzie.
Tunashukur mno mno kwa hiyo kampeni hadi imemfutia akaunti yake.!